Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Hozen Mayaya,akizindua Mitaala Mipya ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini hafla iliyofanyika leo Mei 7,2025 katika Chuo hicho jijini Dodoma.
Na.Alex Sonna-DODOMA
CHUO cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) kimezindua kozi mpya 10 na kufanya chuo hicho kuwa na kozi 57 kuanzia ngazi ya cheti hadi shahada ya uzamili
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo uliofanyika leo Mei 7,2025 katika kampasi kuu Dodoma, Mkuu wa Chuo hicho Prof. Hozen Mayaya amesema kuwa dhamira ya chuo ni kukidhi mahitaji ya jamii na taifa kwa ujumla
Aidha ametaja kozi hizo mpya ni sheria, Uhasibu na fedha, Tehama, Upimaji ardhi, Mipango miji, Uchumi usimamizi wa ardhi na uthamini Kozi nyingine ni takwimu, mipango miji na usimamizi, Afya ya mazingira na usimamizi wa usafi wa mazingira.
Prof.Mayaya amesema kuwa kozi hizo zinakidhi mahitaji ya soko la ajira kwani fani wanazotoa zipo kwenye muundo wa ajira.
“Hii ni sehemu ya mpango mkubwa wa kitaaluma na utekekezaji wa dira ya maendeleo ya taifa ni kuchangia kwa vitendo ajenda ya maendeleo ya taifa ,”amesema Prof.Mayaya
Hata hivyo amesema kuwa Chuo kinamiliki ekari 700 eneo la Nala Dodoma na Chuo kitaendelea kukua kutokana na kuwa na ardhi ya uwekezaji
Kwa upande wake Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma,Utafiti na Ushauri Elekezi Prof.Provident Dimoso amesema kuwa walishirikisha wadau mbalimbali kwenye mchakato wa uandaaji wa mitaala.
“Zoezi la kwanza lilikuwa ni kuwashirikisha wadau ili kuandaa mitaala, watu mbalimbali walihojiwa, walitoa maoni yao, walitoa mahitaji ya soko, baada ya kuandaa walienda tena kwa wadau na walipitia hatua mbalimbali mpaka mchakato huo ulipokamilika”amesema Prof.Dimoso
Pia amesema kuwa kozi hizo mpya ni fursa nyingine kwa wanafunzi kusoma ili kujiajiri au kuajiriwa.

Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Hozen Mayaya,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mitaala Mipya ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini iliyofanyika leo Mei 7,2025 katika Chuo hicho jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Hozen Mayaya wakati wa uzinduzi wa Mitaala Mipya ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini hafla iliyofanyika leo Mei 7,2025 katika Chuo hicho jijini Dodoma.

Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma,Utafiti na Ushauri Elekezi Prof.Provident Dimoso,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mitaala Mipya ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini hafla iliyofanyika leo Mei 7,2025 katika Chuo hicho jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Hozen Mayaya (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Mitaala Mipya ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini hafla iliyofanyika leo Mei 7,2025 katika Chuo hicho jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Hozen Mayaya (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Mitaala Mipya ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini hafla iliyofanyika leo Mei 7,2025 katika Chuo hicho jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Hozen Mayaya (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Mitaala Mipya ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini hafla iliyofanyika leo Mei 7,2025 katika Chuo hicho jijini Dodoma.

Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Hozen Mayaya,akizindua Mitaala Mipya ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini hafla iliyofanyika leo Mei 7,2025 katika Chuo hicho jijini Dodoma.

Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Hozen Mayaya,akizindua Mitaala Mipya ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini hafla iliyofanyika leo Mei 7,2025 katika Chuo hicho jijini Dodoma.

Makamu Mkuu wa Chuo Mipango,Fedha na Utawala Prof. Canute Hyandye,akitoa neno la shukrani kwa Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Hozen Mayaya (hayupo pichani) mara baada ya kuzindua Mitaala Mipya ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini hafla iliyofanyika leo Mei 7,2025 katika Chuo hicho jijini Dodoma.

Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Hozen Mayaya,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua Mitaala Mipya ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini hafla iliyofanyika leo Mei 7,2025 katika Chuo hicho jijini Dodoma.