Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

BASHE AWAPA MBINU YA KUONDOKANA NA UMASIKINI WAKULIMA WA KOROSHO KUSINI

Written by Alex Sonna
WAZIRI wa Kilimo,Mhe.Hussein Bashe,akizungumza wakati akifungua kikao cha tathmini ya uzalishaji, ubanguaji na masoko ya zao la korosho kwa msimu wa 2024/2025 na kuamua mipango ya msimu wa 2025/2026,kilichohudhuriwa na viongozi wa Bodi ya Korosho,Mamlaka ya usimamizi wa Bandari,Taasisi ya utafiti wa Kilimo, watendaji wa serikali,wabunge kutoka mikoa inayolima korosho,wakulima wa korosho,waenda ghala,wabanguaji  na viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa Mikoa na Wilaya.
…..
WAZIRI wa Kilimo,Mhe.Hussein Bashe amewataka wakulima wa Korosho kusini kuhakikisha shughuli zote zinazohusiana na korosho zinafanyika na kupatikana kusini ili kuondokana na umasikini.
Mhe.Bashe, amesema hayo jijini Dodoma kabla ya kufungua kikao cha tathmini ya uzalishaji, ubanguaji na masoko ya zao la korosho kwa msimu wa 2024/2025 na kuamua mipango ya msimu wa 2025/2026,kilichohudhuriwa na viongozi wa Bodi ya Korosho,Mamlaka ya usimamizi wa Bandari,Taasisi ya utafiti wa Kilimo, watendaji wa serikali,wabunge kutoka mikoa inayolima korosho,wakulima wa korosho,waenda ghala,wabanguaji  na viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa Mikoa na Wilaya.
Amesema watu wengi wanajiuliza kwanini umasikini mkubwa upo kusini licha ya kuwa wazalishaji wakubwa wa korosho huku akifafanua sababu kuwa ni 
kwasababu anayesafirisha hatoki kusini ,anayeuza gunia hatoki kusini anayeuza kiutulifu hatoki kusini anayeuza surlfa hatoki kusini anayeendesha ghala hatoki kusini anayeendesha ghala wakala yupo India na Vietnam.
Amesema kuwa tafsiri yake ni kwamba kama korosho imenunuliwa shilingi 3000 inatarajia wachumi waseme gharama za uzalishaji hazitakiwi zizidi asilimia 70 kwahiyo kama asilimia 70 ya 3000 haibaki kusini basi kusini wataendelea kuwa masikini licha ya kuwa wazalishaji wakubwa wa korosho.
“Sasa unawauliza Vyama vikuu vya ushirika Mauzo ya zao la korosho ni Trilioni 2.2 asilimia ngapi ya fedha hii inabaki Kusini,inatakiwa tubadilike Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imeweka mazingira mazuri kwa wakulima ndiyo maana hata Juzi tumezindua Benki ya Ushirika ni kwajili ya wakulima ,kakopeni kule mfungue viwanda vyenu.
“Tunataka kuona viutilifu vinatoka Kusini,Gunia zinatoka kusini,Surfer zinatoka kusini ili kumaliza tatizo la umasikini jitihada zenu zinahitajika  Rais aliyekuwepo sasa hivi anaupendo anaridhia kumsaidia mkulima kijijini ili aondoke kwenye umasikini,”amesema Waziri Bashe.
Vilevile amewataka wakulima kukubali korosho kuuzwa kwa madaraja kwamba daraja la kwanza za wakulima fulani na gharama ya uuzwaji inakuwa tofauti na daraja lingine.Kama daraja la kwanza itauzwa kwa 5000,walipwe 5000 yao ili yule ambaye atazami korosho yake vizuri asile kwa jasho la mwenzake .
“Imefika wakati hapa tulipo tumefika karibu asilimia 98 ya korosho daraja la kwanza.Tunakampuni ya Manyoni inaitwa RV export inazalisha korosho,inawezekana korosho ya manyoni isifikie ukubwa korosho ya kusini lakini ladha ya korosho ya manyoni ikawa nzuri.
“Hivyo ni  lazima muyatofautishe maghala kwamba daraja la kwanza kivyake na daraja la pili kivyake ili watu wapate mapato kutokana na jasho lao,”amesema Bashe.
Hata hivyo Bashe amesema kuwa sasa uzalishaji wa korosho kwa msimu wa 2024/2025 umefikia tani 528,262.23, ongezeko kubwa ikilinganishwa na msimu uliopita. Serikali imeazimia kuongeza uzalishaji huo hadi kufikia tani 700,000 msimu ujao na tani 1,000,000 ifikapo 2030 kama sehemu ya Ajenda ya 10/30.
Pamoja na hayo  Waziri Bashe alihimiza umuhimu wa hali ya juu ya ufanisi katika tasnia ya korosho. Alisisitiza kwamba lazima sekta ya korosho ifanye kazi kwa pamoja na kuzingatia malengo makubwa ya serikali. 
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa bodi ya Korosho Tanzania(CBT),Brigedia Jenerali Mstaafu Aloyce Mwanjile(NDC),amesema uzalishaji wa korosho ghafi umeongezeka kutoka tani 310,000 msimu wa 2023/24 hafi kufikia tani 528,000 msimu wa 2024/25 sawa na ongezeko la asilimia 70.
Aidha amesema bei ya korosho ghafi katika minada ya soko la bidhaa (TMS)iliongezeka kutoka shilingi 2190 hadi 4195 kwa kilo moja ya korosho ghafi zenye ubora wa daraja la kwanza.
“Ubanguaji wa korosho unaendelea kuimarika ambapo kiasi cha tani 122,000 zinaendelea kubanguliwa kupitia wabanguaji wakubwa na wadogo waliopo nchini,”amesema Mwanjile.

About the author

Alex Sonna