Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM DODOMA

Written by mzalendoeditor

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Mkoani Dodoma tarehe 10 Machi, 2025.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga Ustadh Rajabu Abdulrahman kufuatia kufanikisha ziara aliyoifanya Mwenyekiti wa CCM mkoani humo wakati wa Kikao cha Kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Mkoani Dodoma tarehe 10 Machi, 2025.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.

About the author

mzalendoeditor