Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

REA YAANZA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI ZAIDI YA 19,000 MKOANI MBEYA

Written by Alex Sonna

*📌 Mitungi 3,255 yaanza kusambazwa wilayani Rungwe*

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na kampuni ya Oryx Gas Tanzania, leo tarehe 7 Februari, 2025 imeanza rasmi kusambaza mitungi ya gesi ya kilo 6 kwa wakazi wa mkoa wa Mbeya na kwa kuanzia wilayani Rungwe.

Akiongea na msafara wa viongozi kutoka REA na kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited, asubuhi, kabla ya kuanza zoezi hilo; Katibu Tawala Msaidizi Uchumi na Uzalishaji wa Mkoa wa Mbeya, Bwana Said Maditto ameipongeza Serikali kupitia REA kwa kuanza rasmi zoezo hilo kwa kushirikiana na mtoa huduma kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited ambaye ameanza kugawa mitungi hiyo katika wilaya ya Rungwe, na wilaya zote ambapo Wananchi watanunua kwa bei ya ruzuku mitungi ya gesi ya kilo sita pamoja na vifaa vyake katika maeneo ya vijijini na pembezoni mwa miji.

Bwana Maditto amesema kuwa mitungi ya gesi ambayo imeanza kusambazwa katika mkoa wa Mbeya itachochea kwa kiasi kikubwa matumizi ya nishati safi katika kupikia.

“Naipongeza REA kwa kuanza kutekeleza Mradi huu, nawapongeza pia kampuni ya Oryx Gas kwa kuwa, ina mtandao mkubwa wa utoaji wa huduma ya kujaza mitungi ya gesi hata baada ya kuisha, ombi langu tu Miradi kama hii iwe endelevu ili wananchi wengi, wafikiwe na nishati safi kwa ajili ya ustawi wa Taifa letu” amesema Maditto.

Kwa upande wake, Meneja Mradi wa Nishati Safi mkoa wa Mbeya na Songwe kutoka REA; Bwana Venture Maganga amesema, Serikali kupitia REA imetenga fedha kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi ya kusambaza nishati safi ikiwemo gesi (LPG) katika maeneo ya vijijini na pembezoni mwa mji na kuwaomba Wananchi wa mkoa wa Mbeya kuchangamkia fursa ya kununua mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku ambayo ni shilingi 20,000 tu kwa mtungi wa gesi wa kilo sita (6) na fedha inayobaki, inalipwa na Serikali.

“Lengo la sisi kuwa hapa ni kuzindua Mradi wa kuwezesha na Wananchi ili wapate huduma za nishati safi ya kupikia ili kupunguza ukataji wa miti ovyo, ninawaomba Wananch wafike kwenye vituo wakiwa na Vitambulisho vya NIDA kwa ajili kununua mitungi hii pamoja na vifaa vyake kwa bei ya ruzuku ya shilingi (20,000/=)”. Ameongeza Bwana Maganga.

Naye Bwana Alex Wambi; Meneja Mauzo wa Oryx Gas Tanzania Bara ametoa wito kwa Wananchi kufika kwenye vituo vya mauzo ili kununua mitungi hiyo ya gesi na kuongeza kuwa maandalizi yote yamefanyika ili kuhakikisha Wananchi wanapata huduma kwa wakati na bila usumbufu wowote.

Bwana Maganga amezitaja wilaya zitakazonufaika na mgao wa majiko hayo kwa mkoa wa Mbeya kuwa ni wilaya ya Rungwe, Chunya, Kyela, Mbarali na Mbeya.

About the author

Alex Sonna