Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AKUTANA NA MRATIBU WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bi. Susan Namondo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.

About the author

mzalendo