Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

betasus

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

Featured Kitaifa

DKT.GRACE MAGEMBE AFUNGUA KIKAO KAZI CHA TATHIMINI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA UKIMWI KWA WARATIBU NA WAHASIBU WA AFYA

Written by Alex Sonna

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya, Dkt. Grace Magembe akisisitiza jambo wakati akifungua Kikao kazi cha Tathimini ya Utekelezaji wa Shughuli za UKIMWI kwa waratibu wa UKIMWI na wahasibu wa Afya wa Mikoa na Halmashauri kilichofanyika leo Aprili 11,2022 Jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya, Dkt. Grace Magembe akizungumza katika Kikao kazi cha Tathimini ya Utekelezaji wa Shughuli za UKIMWI kwa waratibu wa UKIMWI na wahasibu wa Afya wa Mikoa na Halmashauri kilichofanyika leo Aprili 11,2022 Jijini Dar es Salaam. Mratibu wa UKIMWI kutoka OR-TAMISEMI Dkt.Neema Mlole akizungumza katika Kikao kazi cha Tathimini ya Utekelezaji wa Shughuli za UKIMWI kwa waratibu wa UKIMWI na wahasibu wa Afya wa Mikoa na Halmashauri kilichofanyika leo Aprili 11,2022 Jijini Dar es Salaam.

Afisa Msimamizi wa fedha wa mradi wa Global Fund OR-TAMISEMI Bw.Emmanuel Mwaisabila akiwa katika Kikao kazi cha Tathimini ya Utekelezaji wa Shughuli za UKIMWI kwa waratibu wa UKIMWI na wahasibu wa Afya wa Mikoa na Halmashauri kilichofanyika leo Aprili 11,2022 Jijini Dar es Salaam. 

Mratibu wa Mradi wa Global Fund OR-TAMISEMI Dkt.Mwanahamisi Hassan akifuatilia   Kikao kazi cha Tathimini ya Utekelezaji wa Shughuli za UKIMWI kwa waratibu wa UKIMWI na wahasibu wa Afya wa Mikoa na Halmashauri kilichofanyika leo Aprili 11,2022 Jijini Dar es Salaam. Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw..Ayoub Kibao akifuatilia Kikao kazi cha Tathimini ya Utekelezaji wa Shughuli za UKIMWI kwa waratibu wa UKIMWI na wahasibu wa Afya wa Mikoa na Halmashauri kilichofanyika leo Aprili 11,2022 Jijini Dar es Salaam.  Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya, Dkt. Grace Magembe akipata picha ya pamoja na baadhi ya Waratibu wa UKIMWI na wahasibu wa Afya wa Mikoa na Halmashauri katika kikao kazi cha Tathimini ya Utekelezaji wa Shughuli za UKIMWI kilichofanyika leo Aprili 11,2022 Jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya, Dkt. Grace Magembe akipata picha ya pamoja na baadhi ya wawakilishi kutoka Wizara ya Afya katika Kikao kazi cha Tathimini ya Utekelezaji wa Shughuli za UKIMWI kwa waratibu wa UKIMWI na wahasibu wa Afya wa Mikoa na Halmashauri kilichofanyika leo Aprili 11,2022 Jijini Dar es Salaam.   Baadhi ya waratibu wa UKIMWI na wahasibu wa Afya wa Mikoa na Halmashauri wakiwa katika kikao kazi cha Tathimini ya Utekelezaji wa Shughuli za UKIMWI kilichofanyika leo Aprili 11,2022 Jijini Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

**********************

Waratibu wa UKIMWI na  wahasibu wa Afya wa Mikoa na halmashauri nchini wamtakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia uwekwaji wa takwimu za wagonjwa, dawa,fedha pamoja na rasilimali zote za miradi ili kuhakikisha sekta hiyo inakuwa na kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI.

Akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha Tathimini ya Utekelezaji wa Shughuli za UKIMWI  Jijini Dar es Salaam,Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya, Dkt. Grace Magembe amesema watawapima utendaji wao wa kazi kwa kuzingatia ufanisi wao katika kusimamizi miradi hiyo ikiwemo hoja za ukaguzi.

“Kama wewe ni mhasibu au mratibu unaonekana unasababisha hoja za ukaguzi kila siku na zikisababisha huzijibu kwa wakati, wewe haufai kuwa kiongozi kwenye nafasi yako kwahiyo tutakutoa kwa vigezo hiyo ili tuweke mtu ambaye atazingatia kanuni, taratibu na sheria za utumishi katika utendaji wa Umma.

Aidha Dkt.Magembe amewasisitizia umuhimu wa kufuatilia wagonjwa kwa kuhakikisha kwamba wanapata huduma bora kwa wakati na kwa vigezo vimewekwa kitaifa na vilevile kimataifa.

Amewasisitizia pia suala zima la kusikiliza au kupata mrejesho kutoka kwa wananchi ambao wamewahudumia ili waweze kuwaambia uzuri au mapungufu ya huduma zao ambapo mara nyingi wanatoa huduma wakiwa wamejifungia

Kwa upande wake Mratibu wa Mradi wa Global Fund OR-TAMISEMI Dkt.Mwanahamisi Hassan amesema wanafanya tathimini ya utekelezaji kuangalia ni nini ambacho wametekeleza mpaka sasa katika mradi na changamoto ziko wapi ili waweze kuziondoa changamoto kwasababu mradi unategemeea na matumizi ya fedha mbazo zimepangwa.

“Tunatathimi, tunaangalia utekelezaji wa mwaka mzima, changamoto ziko wapi, tumefanyaje kazi, kama tumefanya vizuri tunapongezana lakini changamto ndogondogo hazikosekani  ndo maana tuko hapa kujadili na waratibu wote wa halmashauri zote 184 pamoja na wahasibu kwasababu hzi kazi lazima turipoti”. Amesema Dkt.Mwanahamisi.

About the author

Alex Sonna