marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

anadoluslot

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

savoycasino

https://letsrelaxspa.today/

boostaro review

casibom giriş

betticket

NervEase

Çanakkale Escort

Denizli Escort

Samsun Escort

matbet

grandpashabet

meritking giriş

Featured Kitaifa

NEMC YAANDAA MKUTANO WA KAMATI YA TAIFA YA BINADAMU NA HIFADHI HAI.

Written by Alex Sonna

Mgeni Rasmi Dkt. Menan Jangu ambaye amemuwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa na Hifadhi ya Mazingira(NEMC) akiongea  wakati wa ufunguzi  wa  Mkutano wa kupitia na kuidhinisha (kuridhia) uteuzi wa eneo la Rufiji, Mafia na Kilwa(RUMAKI) kuingia katika mtandao wa dunia wa binadamu na Hifadhi hai uliofanyika mjini Morogoro. Waliokaa kulia ni Meneja wa Tafiti za Mazingira kutoka NEMC Bi Rose Mtui na kushoto ni  Dkt. Henry Ndangalasi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria Mkutano  huo wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mgeni Rasmi (hayupo pichani) alipokua akifungua  Mkutano wa kupitia na kuidhinisha (kuridhia) uteuzi wa eneo la Rufiji, Mafia na Kilwa(RUMAKI) kuingia katika mtandao wa dunia wa binadamu na Hifadhi hai   mjini Morogoro.

Mgeni Rasmi katika Mkutano huo Dkt Menan Jangu (wa pili kushoto) ambaye alimuwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) akiwa katika picha ya pamoja  na Wajumbe wa Kamati ya Taifa ya Binadamu na Hifadhi Hai wakati wa ufunguzi wa  Mkutano wa Kamati hiyo uliofanyika mjini Morogoro.

****************************

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeandaa  Mkutano wa kupitia na kuidhinisha uteuzi wa eneo la Rufiji, Mafia, Kibiti na Kilwa(RUMAKI) kuingia katika mtandao wa dunia wa binadamu na Hifadhi hai.

Mkutano huo umefunguliwa na  Dkt Menan Jangu aliyemuwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa NEMC na umefanyika mjini Morogoro na kuhudhuriwa na Wajumbe wa Kamati ya Taifa ya Binadamu na Hifadhi hai kutoka katika Taasisi mbalimbali za Serikali.

Aidha akiongea katika Mkutano huo Dkt. Jangu amesema dhumuni kubwa la mkutano huo ni kupitia kwa pamoja na kuridhia mapendekezo ya uteuzi wa eneo la RUMAKI kuingia katika mtandao wa dunia wa binadamu na hifadhi hai kwani kufanya hivyo ni muhimu kwa ustawi wa mazingira.

“Lengo la Mkutano huu ni kupitia mapendekezo na kujiridhisha kwa ajili ya maandalizi ya kuridhia RUMAKI kuingia katika mtandao wa dunia wa Binadamu na hifadhi hai”

Naye Meneja wa Tafiti za Mazingira kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Bi Rose Salema amesema kuwa Hifadhi hai za Taifa  ni muhimu sana   kwani zinamshirikisha binadamu katika maeneo yake na pia   Binadamu atafaidika kwa hizo Hifadhi hai. “Hifadhi hai za Taifa ni muhimu sana na kwa mfano hili la RUMAKI wananchi wa maeneo hayo tutawatafutia miradi na kazi mbadala ili waweze kuondoa uharibifu katika mazao ya bahari”

Kamati ya Taifa ya Binadamu na Hifadhi hai Nchini inaundwa na wajumbe kutoka katika Taasisi mbalimbali za Serikali kama vile Hifadhi za Taifa (TANAPA), Wizara ya Maliasili na Utalii, Wakal wa huduma za misitu (TFS),Chuo Kikuu cha Das es Salaam, Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Taasisi ya Tafiti za Misitu (TAFORI), Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi (TAFIRI)  na Mamlaka ya Bonde la Ngorongoro (NCAA)

About the author

Alex Sonna