Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

WATU MILIONI 300 AFRIKA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA IFIKAPO 2030-  DKT. BITEKO

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati wa Kongamano na Jukwaa la Majadiliano kuhusu Masuala ya Nishati  kwa Bara la Afrika( AEMP) kwa ngazi ya Mawaziri unaofanyika Jijini Dar es salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba akizungumza  wakati wa Kongamano na Jukwaa la Majadiliano kuhusu Masuala ya Nishati  kwa Bara la Afrika(AEMP) kwa ngazi ya Mawaziri unaofanyika Jijini Dar es salaam.

Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Kelvin Kairuki  akizungumza  wakati wa Kongamano na Jukwaa la Majadiliano kuhusu Masuala ya Nishati  kwa Bara la Afrika(AEMP) kwa ngazi ya Mawaziri unaofanyika Jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Dkt. James Andilile akizungumza  wakati wa Kongamano na Jukwaa la Majadiliano kuhusu Masuala ya Nishati  kwa Bara la Afrika(AEMP) kwa ngazi ya Mawaziri unaofanyika Jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy (kulia)na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gisima Nyamuhanga( tatu kushoto) wakimsikiliza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko(hayupo pichani) akizungumza wakati wa  Kongamano na Jukwaa la Majadiliano kuhusu Masuala ya Nishati  kwa Bara la Afrika(AEMP) kwa ngazi ya Mawaziri unaofanyika Jijini Dar es salaam.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Maandalizi ya Kongamano na Jukwaa la Majadiliano kuhusu Masuala ya Nishati  kwa Bara la Afrika(AEMP) kwa ngazi ya Mawaziri unaofanyika Jijini Dar es salaam.

…..

 Benki ya Dunia na AfDB zaunga mkono Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia

 

 Mkutano wa Marais Afrika kufanyika Tanzania; Ajenda ya Nishati Safi kupewa kipaumbele

 

 Tanzania yawa mfano Afrika mapinduzi Sekta ya Nishati

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko amesema ifikapo mwaka 2030 watu milioni 300 katika Bara la Afrika watakuwa wanatumia Nishati Safi ya kupikia huku Tanzania ikiwa ni kinara katika kuhamasisha Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia.

Amesema  juhudi zinazofanyika katika kufikia lengo hilo zimepelekea  Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Benki ya Dunia ( WB) kuunga mkono Ajenda ya Nishati Safi ya kupikia katika bara la Afrika.

Biteko amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Majadiliano kuhusu Masuala ya Nishati  kwa Bara la Afrika kwa ngazi ya Mawaziri unaofanyika Jijini Dar es salaam kwa siku mbili ulioandaliwa  na Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na AfDB.

Amesema AfDB imeichangua Tanzania kufanya mkutano huo wa majadiliano kwa kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa kimaendeleo na mafanikio katika Sekta ya Nishati ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika zinazoshirikiana na benki hiyo na imekuwa mfano wa kuigwa na nchi hizo..

Ameeleza kuwa,  katika mkutano huo masuala mbalimbali yanajadiliwa huku lengo kubwa  likiwa ni kuweka mipango thabiti ya kuhakikisha kuwa watu Milioni 300 katika Bara la Afrika wanatumia nishati safi ya kupikia  ifikapo 2030 ikiwa ni miaka 6 kutoka sasa.

” Mkutano huu pia ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano wa Marais  wa nchi za Afrika unaotarajiwa kufanyika mwaka 2025 ikiwa ni mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye kinara wa ajenda ya Nishati safi ya kupikia Afrika.” Amesema Dkt. Biteko

Amesema Marais hao watakuja nchini kujadili masuala ya nishati katika Bara la Afrika ikiwemo suala la  watu milioni 300 Afrika kutumia nishati safi ya kupikia.

Ameongeza kuwa, mkutano huo utafanya tafakuri na utaweka mikakati ya kuhakikisha kuwa nishati safi ya kupikia inapatikana kwa uhakika na gharama nafuu ili kila mwananchi anaweza kuimudu.

Amesema mkutano huo ni muhimu kwa Tanzania  hasa kwenye sekta ya nishati kwakuwa imefanya mapinduzi makubwa kwenye nishati  na upatikanaji wa umeme nchini ni wa uhakika na miradi mikubwa inayotekelezwa ipo mwishoni na kwamba kazi kubwa iliyopo ni kuhakikisha watu wanapata umeme kila sehemu.

 

“Furaha yetu ni kwamba tumepata heshima kubwa ambayo haikuja hivihivi bali ni kutokana na mahusiano mazuri ya kidiplomasia kati nchi yetu, Benki ya Maendeleo ya Afrika ( AfDB) na Benki ya Dunia na kutokana pia na kupiga hatua katika masuala ya usimamizi mzuri wa kisera, uzalishaji, usafirishaji, usambazaji na upelekaji wa umeme vijijini.”  Amesema Dkt. Biteko.

Amesema Tanzania imepiga hatua katika kupeleka umeme vijijini na ifikapo Desemba tutakuwa tumepeleka umeme katika vijiji vyote zaidi ya 12,000 na kuhamia katika vitongoji vyote.

Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Kelvin Kairuki amesema Benki hiyo kwa kushirikiana na Benki ya Dunia itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kufanya kazi pamoja kwa sababu Tanzania iko katika mstari wa mbele katika kutekeleza Ajenda ya Nishati safi ya Kupikia ikilinganishwa na nchi nyingine zinazofanya kazi na benki hizo.

Amesema  uamuzi wa kuamua  mkutano mkubwa wa Marais ufanyike Tanzania ni pamoja na  kumuunga mkono  Rais Samia katika juhudi za utekelezaji wa Ajenda ya Nishati safi ya kupikia na kuwa kinara wa ajenda hiyo kwa nchi za Afrika.

Mkutano huo  umehudhuriwa na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, Kamishna wa Umeme na Nishari Jadidifu Mhandisi Inocent Luoga, Wakuu wa Taasisi zilizochini wa Wizara ya Nishati na wadau wa nishati kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya Tanzania.

About the author

Alex Sonna