Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA WILAYA YA TEMEKE

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi kwenye Ukumbi wa Ali Hassan Mwinyi, Sabasaba akiwa katika ziara ya Wilaya ya Temeke mkoani Dar es salaam, Oktoba 5, 2024. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Abbas Mtemvu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi kwenye Ukumbi wa Ali Hassan Mwinyi, Sabasaba akiwa katika ziara ya Wilaya ya Temeke mkoani Dar es salaam, Oktoba 5, 2024. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Abbas Mtemvu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO 0773, 0819 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi kwenye Ukumbi wa Ali Hassan Mwinyi, Sabasaba akiwa katika ziara ya Wilaya ya Temeke mkoani Dar es salaam, Oktoba 5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya watumishi wa Wilaya ya Temeke wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassam Majalwa, wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Ali Hassan Mwinyi, Sabasaba jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu (wa pili kulia) alipowasili kwenye ukumbi wa Ali Hassan Mwinyi, Sabasaba kuzungumza na Watumishi wa Wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

About the author

mzalendoeditor