Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

DKT. NCHEMBA AIASA PPRA KUHAKIKISHA WAZABUNI WANATUMIA MALIGHAFI NA BIDHAA ZA NDANI

Written by Alex Sonna
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akipokea Taarifa ya Tathmini ya Utendaji Kazi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), kwa mwaka wa fedha 2023/2024, kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA, Dkt. Leonada Mwagike, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, 28 Septemba, 2024. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Bw. Dennis Simba.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akipokea Taarifa ya Tathmini ya Utendaji Kazi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), kwa mwaka wa fedha 2023/2024, kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA, Dkt. Leonada Mwagike, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, 28 Septemba, 2024. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, anayesimamia Huduma za Hazina, Bi. Jenifa Christian Omolo na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Bw. Dennis Simba.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wawakilishi wa Menejimenti ya Wizara ya Fedha, baada ya Waziri wa Fedha  kupokea Taarifa ya Tathmini ya Utendaji Kazi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), kwa mwaka wa fedha 2023/2024, kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA, Dkt. Leonada Mwagike, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, 28 Septemba, 2024. , walioketi kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban (Usimamizi wa Fedha za Umma), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (Huduma za Hazina), Bi. Jenifa Christian Omolo, na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PPRA, Bw. Dennis Simba na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA Dkt. Leonada Mwagike. 
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA)  wa fedha 2023/2024, kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA, Dkt. Leonada Mwagike, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, 28 Septemba, 2024, walioketi kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban (anayesimamia Fedha za Umma), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (Huduma za Hazina), Bi. Jenifa Christian Omolo, na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PPRA, Bw. Dennis Simba na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA Dkt. Leonada Mwagike. 
 
(Picha na KItengo cha Mawasilkiano Serikalini-Wizara ya Fedha-Dar es Salaam)
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ameiagiza kuiagiza Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), kuhakikisha kuwa watoa huduma wanaopata zabuni kupitia Mfumo wa Ununuzi wa Kieletroniki wa NeST, wanatumia malighafi na bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi isipokuwa kwa bidhaa ambazo ni lazima ziagizwe nje ya nchi kutokana na kutopatikana hapa nchini.
Dkt. Nchemba, amepokea maelekezo hayo wakati akipokea Taarifa ya Tathmini ya Utendaji Kazi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), kwa mwaka wa fedha 2023/2024, tukio lililofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, 28 Septemba, 2024.
Dkt. Nchemba alisema kuwa na, hatua  itakuza uzalishaji wa bidhaa na huduma za ndani, kukuza ajira, kuongeza wigo wa kodi na kuchangia maendeleo ya nchi kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali. 
Aidha, Dkt. Nchemba amezitaka Taasisi za umma nchini kuhakikisha zinatumia Mfumo wa Ununuzi wa Umma wa Kielektroniki (NeST) kwakuwa hakuna mbadala wake.
Alisema kuwa matumizi ya Mfumo wa Ununuzi wa NeST unaongeza uwazi na uwajibikaji na udhibiti wa ndani wa Taasisi nunuzi, na hivyo kuendana na maelekezo ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyeitaka Wizara ya Fedha kudhibiti matumizi ya fedha za Serikali hasa kwenye utekelezaji wa miradi ili iendane na thamani ya fedha inayotumika kutekeleza miradi husika.
Akizungumza wakati wa kukabidhi Taarifa hiyo ya Tathimini ya Utekelezaji wa Majukumu ya PPRA kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka hiyo, Dkt. Leonada Mwagike, alisema kuwa Taasisi yake inajivunia mafanikio makubwa ikiwemo kufanikisha maboresho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2023 na kanuni zake za Mwaka 2024. 
Alisema kuwa katika kutekeleza majukumu yake ya ukaguzi na usimamizi wa Sheria za Ununuzi wa Umma, PPRA ilifanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi bilioni 14.94 kupitia ukaguzi na kiasi kingine cha shilingi trilioni 2.7 wakati wa ufuatiliaji wa mipango kazi ya Ununuzi wa Taasisi Nunuzi iliyowasilishwa katika Taasisi hiyo na kubainika kuwa matumizi hayo hayakuwa na tija. 
Aidha, alisema kuwa PPRA iliwezesha ushiriki wa Makundi Maalum, yakiwemo ya wanawake, vijana, watu wenye mahitaji maalum, kunufaika na zabuni 153 zenye thamani ya shilingi bilioni 5.29.
Ripoti hiyo imekabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA, Dkt. Leonada Mwagike na kushuhudiwa na Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo na Bi. Amina Khamis Shaaban, Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA, baadhi ya Menejimenti ya Wizara ya Fedha, wafanyakazi wa PPRA na wageni wengine waalikwa.

About the author

Alex Sonna