Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

betasus

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

Featured Michezo

MARATHON NI MPANGO MKAKATI WA KUJENGA AFYA ZA WATANZANIA – MAJALIWA

Written by Alex Sonna

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na washiriki wa Ruangwa Marathon 2024  kwenye viwanja vya Madini Ruangwa, Septemba 14, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwaongoza washiriki wa Ruangwa Marathon 2024 iliyoanzia na kuishia katika viwanja vya Madini  Ruangwa, Septemba 14, 2024. Wengine picha na kutoka kushoto  ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi  Zainab Telack, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa, Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamis  Mwinjuma, Msanii Maarufu wa Bongo Flava nchini, Naseeb  Abdul maarufu Diamond Platnumz  na kulia ni Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwaongoza washiriki wa Ruangwa Marathon 2024 iliyoanzia na kuishia katika viwanja vya Madini  Ruangwa, Septemba 14, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wananchi wakishiriki katika Ruangwa Marathon ilianzia na kuishia kwenye viwanja vya Madini  Ruangwa, Septemba 14, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimkabidhi,  Kombo Jumbe Mohammed shiilingi 100000/=  ikiwa ni zawadi  ya mshindi wa pili wa mbio za kilomita 10,  kundi la Watu wenye Mahitahiji Maalum, za Ruangwa Marathon iliyoanza na kuishia   kwenye viwanja vya Madini Ruangwa, Septemba 14, 2024. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi, Alhaj Hassan Jarufu na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Hajat Zainab Telack. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)

…….

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema marathon zinazofanyika kila kona nchini ni mpango mkakati wa kuwafanya Watanzania wawe na afya njema na wakae pamoja ili kubadilishana mawazo.

“Ni mkakati wa Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwahamasisha wananchi wetu kufanya mazoezi ili kupunguza magonjwa yasiyoambukiza kama vile kisukari na presha,” amesema.

Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Septemba 14, 2024) wakati akizungumza na viongozi na wadau mbalimbali walioshiriki Ruangwa Marathon 2024 (Msimu wa Pili) katika viwanja vya Madini, wilayani Ruangwa, mkoani Lindi.

“Mbio hizi za Ruangwa ni zaidi ya mbio kwa sababu malengo yake makubwa ni kuhamasisha wana-Ruangwa tuwe na umoja; tuimarishe ujenzi wa afya zetu, tupate fursa ya kufahamiana na kuimarisha urafiki,” amesema.

Waziri Mkuu Majaliwa ambaye pia ni mbunge wa Ruangwa, amewataka Wana-Ruangwa wajitokeze kusimamia miradi ya maendeleo iliyomo kwenye wilaya hiyo na kupitia mkusanyiko mkubwa kama huo watengeneze mijadala ya kiuchumi katika ngazi na makundi tofauti waliyopo.

Amewashukuru washiriki wa mbio hizo za km.21, km.10, km.5 na km.3 kwa watoto kutoka Ruangwa na wilaya za jirani za Nachingwea na Liwale lakini pia vikundi vya hamasa na marathon kutoka mikoa ya Dar es Salaam, Iringa na Mtwara.

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel alisema watu wanashauriwa kufanya mazoezi ili kupunguza magonjwa yasiyoambukiza na endapo watafuata hayo maelekezo, Serikali itaokoa fedha nyingi zinazotumika kutibu magonjwa hayo.

“Nchi yetu inapoteza sh. bilioni 454 kwa mwaka kwa kutibu watu wenye magonjwa ambayo tukifanya mazoezi tu, nchi yetu inakuwa salama. Fedha hizi zingetumika kujenga shule za msingi mpya 1,513 zenye madarasa nane na ofisi za walimu,” alisema.

Mapema, Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma alisema Ruangwa Marathon inaelekea kuwa ya Kimataifa katika miaka michache ijayo. Alimpongeza Mbunge wa Ruangwa kwa kuandaa marathon hiyo ikiwa ni utekelezaji wa maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Naye, msanii wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ametoa pongezi kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujenga miradi ya maendeleo wilayani Ruangwa ikiwemo barabara ya lami ya kutoka Nanganga.

“Mwaka jana tulikuja kufanya tamasha na njia nzima ilikuwa rough sana, nikawa najiuliza kama tungeweza kurudi salama tulikotoka. Lakini mwaka huu, nimeshangaa sana. Tumekuja kwenye lami tangu njiapanda. Leo hapa Ruangwa, tutazindua tamasha la mwaka huu la Wasafi Festival na kisha tutaendelea na mikoa mingine,” alisema.

About the author

Alex Sonna