Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI SANGU ATEMBELEA OFISI YA RAIS, SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA.

Written by mzalendo

 

Naibu Waziri Ofisi Ya Rais Menejimenti ya Utumishi Wa Umma na Utawala Bora Mhe.Deus Sangu akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi Wa Umma katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi hiyo jijini Dodoma Agosti 23 mara baada ya kufanya Ziara fupi ya kikazi Ofisini hapo.

Naibu Waziri Ofisi Ya Rais Menejimenti ya Utumishi Wa Umma na Utawala Bora  Mhe.Deus Sangu akiasalimiana na Viongozi wa Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi Wa Umma baada ya kufika katika Sekretarieti hiyo jijini Dodoma Agosti 23 kwa  Ziara fupi ya kikazi.

Naibu Waziri Ofisi Ya Rais Menejimenti ya Utumishi Wa Umma na Utawala Bora  Mhe.Deus Sangu(katikati), akiwa katika picha ya pamoja ya Viongozi pamoja na Watumishi wa Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi Wa Umma  jijini Dodoma Agosti 23 baada ya kufanya Ziara fupi ya kikazi ofisini hapo.

……

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Clement Sangu amesema suala la maadili ndiyo  silaha na kila kitu katika jamii na kwamba maadili ni suala mtambuka ambalo linatakiwa kuanzia ngazi ya familia mpaka kwenye utumishi wa umma.

Mhe. Waziri amesema hayo alipotembelea ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma makao makuu jijini Dodoma  tarehe 23 Agosti, 2024 ikiwa ni mara yake ya kwanza kutembelea ofisi hizo tangu ateuliwe kushika wadhifa wa Naibu Waziri.

“Maadili ni tuzo kubwa katika Taifa letu, ndio maana kila mahali unapopita, maadili yanapewa kipaumbele kwasababu ni jambo mtambuka,” alisema.

Mhe. Sangu katika hotuba yake ameipongeza Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa kufanya kazi kwa weledi na kufanya kazi kwa kuzingatia misingi ya maadili.

Ameitaja misingi hiyo kuwa ni kuzingatia utaalam, kuwa mwadilifu na kutimiza wajibu. 

“Misingi hii isipozingatiwa usababisha uvunjifu wa sheria, mienendo isiyofaa na utovu wa nidhamuazi,” amesema.

Aidha, Mhe. Sangu ametoa rai kwa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kutumia mbinu za kisasa katika utendaji wake wa kazi hasa zoezi ila uhakiki wa mali na madeni ya viongozi.

“Tumieni mbinu za kisasa za kiuchunguzi mnapo hakiki mali za viongozi  katika kufuatilia vitendo vya ukiukwaji wa Maadili kwa viongozi wa umma. Hili zoezi linaweza kufanyika vizuri kwa kutumia TEHAMA.” 

Katika hatua nyingine, Mhe. Sangu amesema, kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ujazaji wa matamko kwa njia ya mtandao (On line Decrelation Systerm) kutasaidia kupata ukweli na uhalisia wa matamko ya viongozi wa umma kwa urahisi na usahihi na kuondokana na mzigo uliokuwepo wa mlundikano  wa makaratasi kama ilivyokuwa hapo awali na kwamba suala hili liwe endelevu na lipewe kipaumbele kwa uzito wake.

“Pamoja na mfumo huu, fanyani utafiti kuhusu hali ya maadili nchini na kuwachukulia hatua viongozi wote wanaokiuka maadili ikiwemo wanaotoa matamko ya uongo. Hawa wapelekeni kwenye Baraza la Maadili,” alisema.

Awali akimkaribisha Mgeni rasmi Katibu Idara ya Ukuzaji Maadili Bw. Waziri Kipacha aliyataja majukumu ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kuwa ni pamoja na  Kupokea matamko ya raslimali na madeni, Kupokea malalamiko kuhusu ukiukwaji wa maadili kutoka kwa wananchi, Kufanya uchunguzi kuhusu tuhuma au malalamiko dhidi ya kiongozi, Kufanya uhakiki wa raslimali na madeni ya viongozi wa Umma, Kutoa elimu ya maadili kwa viongozi wa umma, Kufanya utafiti kuhusu hali ya maadili nchini na Kubuni mikakati ya  kukuza uadilifu nchini.

Kikao hicho kilichojumuisha watumishi wote wa Sekretarieti ya Maadili Makao Makuu na ofisi ya Kanda ya Kati, kilifanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dodoma.

About the author

mzalendo