marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

cashwin

palacebet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

mavibet

parmabet

mislibet

mislibet

artemisbet

nitrobahis

parmabet giriş

jojobet

kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet güncel giriş

holiganbet giriş

Nitric Boost

bahiscasino giriş

Featured Kitaifa

DKT. MPANGO AIPONGEZA WIZARA YA NISHATI KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI YA NISHATI

Written by mzalendo

*Ampongeza Dkt. Biteko kwa kuiongoza vyema Wizara na TANESCO kwa utekelezaji wa miradi

 *Akagua vituo vya kupoza umeme Nguruka na Kidahwe

 *Aagiza ifikapo Septemba Kigoma iwe imeingia kwenye Gridi ya Taifa

 *Kapinga asema Wizara haitakuwa kikwazo cha wananchi kupata umeme wa uhakika

Makamu wa Rais, Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango ameipongeza Wizara ya Nishati kwa usimamizi madhubuti wa miradi mbalimbali ya Sekta ya Nishati hususan miradi ya umeme ambayo inapelekea nchi kuzidi kujiimarisha kiuchumi.

Dkt. Mpango ametoa pongezi hizo leo leo Julai 8, 2024 wakati alipokagua utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa njia kuu ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovoti 132 kutoka Tabora hadi Kigoma yenye urefu wa Kilomita 395 pamoja na ujenzi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha Nguruka na na Kidahwe vilivyoko mkoani Kigoma.

Akiwa kwenye kituo cha kupoza umeme cha Nguruka ambacho ujenzi wake umefikia asilimia 95, Dkt. Mpango ameiagiza Wizara ya Nishati kupitia TANESCO kuhakikisha ifikapo mwezi Septemba mwaka huu Kigoma iwe imeungwa kwenye Gridi ya Taifa ya umeme na hivyo kutatua changamoto ya upatikanaji wa umeme ambao umekuwa ukirudisha nyuma shughuli za uwekezaji kwenye mkoa huo.

‘’Nimpongeze Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko kwa kuisimamia vyema sekta hii, na pia niwapongeze sana TANESCO kwa kazi nzuri mnayofanya ila ni muhimu sasa mkahakikisha Mkoa wa Kigoma unaingia kwenye Gridi ya Taifa ili kuufungua mkoa huu kiuchumi.” Amesema Dkt Mpango

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amemshukuru Makamu wa Rais, kupitia Serikali inayoongozwa na Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha za kutosha kuwezesha utekelezaji wa miradi mbalimbali hususan mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme cha Nguruka na kuahidi kuendelea kusimamia miradi ya nishati ili kuhakikisha umeme unapatikana kwa uhakika kwa wananchi.

‘’ Nikuhakikishie Mhe Makamu wa Rais sisi Wizara ya Nishati tunakuhakikishia kuwa hatutakuwa kikwazo kwa wananchi kupata umeme bali tunaahidi kuwapatia umeme wa uhakika watanzania wote’.’ Amesema Mhe Kapinga

Ameongeza kuwa Wizara itaendelea kutekeleza miradi ya umeme ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa mradi wa umeme wa Igamba Kidahwe hadi Malagarasi ambapo mpaka sasa mkandarasi ameshakabidhiwa eneo la mradi.

Mradi wa njia ya kusafirisha umeme msongo wa kilovoti 132 kutoka Tabora hadi Kigoma na kituo cha kupoza umeme cha Nguruka unatekelezwa na mkandarasi kampuni ya TBEA kutoka China na unagharimu kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 12 na ujenzi wa kituo cha kupoza umeme cha Kidahwe kitakachopokea umeme kutoka Nyakanazi unagharimu shilingi bilioni 5 na unatekelezwa na wataalam wa ndani kutoka TANESCO.

Ujenzi huo ukikamilika utaunganisha Wilaya nne za Mkoa wa Kigoma ambazo ni Kigoma Mjini, Buhigwe, Uvinza na Kasulu na pia kuongeza hali ya upatikanaji wa umeme kwa mkoa wa Kigoma kupitia Gridi ya Taifa.   

About the author

mzalendo