Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA MGOMBEA URAIS WA MSUMBIJI CHAMA CHA  FRELIMO IKULU CHAMWINO DODOMA 

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo wakati alipofika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2024.

About the author

mzalendo