Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

DKT.MAGEMBE AZINDUA MPANGO WA MAJARIBIO WA WATAALAMU WA KUJITOLEA

Written by mzalendo

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango wa majaribio wa wataalamu wa kujitolea kwa ushirikiano wa Wizara ya Afya na US Peace Corps ambao utatekelezwa katika wilaya za Bahi, Chamwino Mkoani Dodoma  na Mafinga Mkoani Iringa,hafla hiyo imefanyika leo Mei 16,2024 jijini Dodoma.

Na.Mwandishi Wetu-Dodoma

Vijana 26 kutoka katika wilaya za Bahi, Chamwino na Mafinga wamechaguliwa kujiunga na mpango wa Majaribio wa Wataalamu wa Kitaifa wa kujitolea (National Volunteerism Pilot Program), mpango ambao umejikita katika kutoa elimu ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI na viashiria hatarishi kwa vijana kwa njia ya michezo katika vijiji vyao.

Mpango huo wa majaribio unaendeshwa na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na US Peace Corps ambao utahusisha jumla ya vijana 26 kati yao wasichana ni 13 na wavulana 13 waliochaguliwa katika vijiji vyao na kupewa mafunzo ya namna ya kuwakinga vijana wwnzao na viashiria hatarishi na virusi vya UKIMWI

Wataalam hao ambao watatumia afua ya michezo kufikisha elimu hiyo wameaswa kuwa mabalozi wazuri kwa mpango huo ili kuvutia wadau kuendelea kuamini zaidi katika vijana wazawa.

Wito huo umetolewa Leo 16 Mei, 2024 jijini Dodoma na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango wa majaribio wa wataalamu wa kujitolea kwa ushirikiano wa Wizara ya Afya na US Peace Corps ambao utatekelezwa katika wilaya za Bahi, Chamwino na Mafinga.

Akizungumza katika hafla hiyo.Dkt. Magembe amesema wachache walio pata nafasi hiyo wakawe mabalozi wazuri wa mpango huu, kwa kuzingatia yale waliyo elekezwa ili kuvutia zadi wadau wetu kuendelea na utaratibu wa kutumia vijana wazawa

“Matarajio ya serikali ni kuona kuwa nyie ambao mmepata nafasi hii mnafanya kazi kwa bidii, uaminifu na kujitoa kwani mpango huu una faida nyingi ikiwemo ajira hasa kwa vijana pamoja na kuwajengea uzalendo na kujitoa kwa ajili ya nchi yako,” amesema Dkt. Magembe

Pia Dkt. Magembe amesema mpango huo utasaidia kuwawezesha vijana kiuchumi kama hatua moja wapo ya kuwaondoa katika viashiria hatarishi kwa kuzingatia takwimu zina onesha vijana wengi wapo katika hatari ya kupata virusi vya UKIMWI.

“Kuna mambo mengi yanayo wazunguka vijana na Kitu kimoja wapo ambacho kinasababisha vijana kuingia katika mambo hatarishi ni kutokuwa na nguvu ya kiuchumi hivyo basi katika afua tulizo nazo kuwawezesha vijana kiuchumi ni hii” ameongeza Magembe

Aidha Dkt. Magembe amewaomba wakurugenzi wa Halmashauri ambazo yanafanyika majaribio ya Mpango huo kuwapa ushirikiano mzuri vijana hao ili kuhakikisha elimu wanayo pewa wanaweza kuifikisha kwa vijana wenzao bila kikwazo”. Magembe

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Wafanyakazi wa Kujitolea la Kimarekani (Peace Corps) Bibi. Stephanie Joseph de Goes,amesema kuwa mpango huo umeshirikisha vijana kutokana na kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi.

 “Mradi huo unaanza kwa majaribio kwa mikoa miwili ya Dodoma na Iringa ambapo vijana 26 watashiriki kazi za kujitolea. Up  pamoja na wenzao kutoka nchini Marekani.”amesema
Naye Kaimu Mkurugenzi Idara ya Kinga wizara ya Afya Dk Tumaini Haonga amesema kuwa programu hiyo ni muendelezo a huduma za kujitolea  za  nchini na wa Marekani na Tanzania.
Dkt.amesema kuwa mpango huo unahusisha watoa huduma za kujitolea nchini kutoka kwenye maeneo  ambayo shughuli zinafanyika

Naye mmoja kati ya wahitimu wa mafunzo hayo Bi.Judith Maganga kutokea wilaya ya Bahi amesema wamejipanga vizuri kama vijana kuwafikia vijana wenzao walioko mitaani kuwapa elimu juu ya kujiepusha na Maambukizi ya virusi vya UKIMWI na tabia hatarishi ikiwemo matumizi ya madawa ya kulevya na ngono zembe.

 

About the author

mzalendo