MzalendoBlog
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala
Mzalendo
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala

Home » GARI YA MBUNGE WA MASASI YATEKETEA KWA MOTO

Featured • Kitaifa

GARI YA MBUNGE WA MASASI YATEKETEA KWA MOTO

4 years ago
by Alex Sonna
58 Views
Written by Alex Sonna

Mbunge wa Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa leo Machi 27, 2022.

Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea Masasi kwenye msiba wa baba yake mzazi.

Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika

Endelea kufuatilia mzalendo kwa taarifa zaidi

    FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO MARCH 28,2022
AJALI YA NDEGE CHINA : ABIRIA 132 WAFARIKI, HAKUNA MANUSURA

You may also like

Featured • Kitaifa

π—ͺπ—”π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—” π—ͺπ—”π— π—˜π—₯π—œπ——π—›π—œπ—žπ—” 𝗑𝗔 π—¨π—§π—˜π—‘π——π—”π—π—œ π—žπ—”π—­π—œ π—ͺ𝗔 π——π—žπ—§.π—¦π—”π— π—œπ—”...

Featured • Kitaifa

BILIONI 860 ZINATUMIKA UJENZI MIRADI YA DHARURA NCHINI...

Featured • Kitaifa

NM-AIST NAΒ  ESCSA ZASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO...

Featured • Kitaifa

MASWI AKUTANA NA WAJUMBE WA AFRIKA WA UANGALIZI WA...

Featured • Kitaifa

MNZAVA ASISITIZA AMANI SIKU YA UCHAGUZI

Featured • Kitaifa

AZZA HILLAL AFUNGA KAMPENI KIBINGWA JIMBO JIPYA LA...

About the author

Alex Sonna

View all posts

Copyright © 2025. Mzalendo Blog - Design by Yatosha Web Services.

  • Habari
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala