Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

jojobet

Burudani Featured

TIGO YAKABIDHI MILIONI 10 KWA MSHINDI ‘SOKA LA AFRIKA LIMEITIKA’ SHINYANGA

Written by Alex Sonna

 

Kampuni ya TIGO Tanzania imekabidhi zawadi ya hundi yenye thamani ya shilingi milioni kumi kwa mshindi wa shindano la ‘Soka la AFRIKA limeitika’ kupitia kampeni ya Afcon 2023 iliyoendeshwa na kampuni hiyo ambapo Bw. Raphael Songelaeli mkazi wa Shinyanga ameibuka mshindi na kujinyakulia kitita hicho cha fedha.
 
 
Zawadi hiyo imekabidhiwa leo April 25,2024 nyumbani kwa mshindi huyo mtaa wa viwanja vya Mwadui ndani ya manispaa ya Shinyanga.
Meneja wa Kampuni ya TIGO Mkoa wa Shinyanga Sadock Mahundo amesema kampuni ya Tigo imeendelea kuendesha promosheni mbalimbali kwa wateja wake na kuendelea kutoa zawadi kwa washiriki wanaoibuka washindi kwa kuwafata hadi nyumbani ili kuongeza hamasa kwa wateja wake na kuboresha promosheni hiyo .
Meneja wa Kampuni ya TIGO Mkoa wa Shinyanga Sadock Mahundo
 
“Kampeni hii ya ‘Soka la AFRIKA limeitika’ leo ilikuwa ni awamu ya kwanza ya promosheni hii ambayo ilikuwa inaenda sambamba na michuano ya Afcon 2023 iliyokuwa ikiendelea, nitumie fursa hii kuwaambia wateja wetu kwamba promosheni bado inaendelea na kwasasa imeboreshwa zaidi ambapo tutakuwa tunapata washindi wa kila siku ambaye atakuwa anajipatia shilingi Laki moja, tutakuwa tunafanya droo ya mshindi wa wiki ambaye atakuwa anajishindia shilingi la tano na kila mwezi mshindi atakuwa anajishindia shilingi Milioni moja”, amesema Mahundo.
 
 
“Kushiriki ni rahisi utaingia kwenye sehemu ya kuandika ujumbe mfupi utaandika neno ‘SOKA’ na kisha kutuma kwenda namba 15670 na kujibu maswali mbalimbali na hatimae kuibuka mshindi, kwa tukio hili lililofanyika leo ni ushuhuda kuwa hakuna utapeli wa aina yoyote, katika promosheni zote kutoka kamuni ya TIGO zinaendeshwa kwa kuzingatia vigezo na masharti na ni rahisi kwa yeyote kuweza kushiriki”, ameongeza Mahundo.
Akitoa  neno la shukrani mara baada ya kupokea zawadi hiyo Bw. Raphael Songelaeli ameishukuru kamuni ya TIGO kwa kuendesha mashindano hayo na kiwasihi watu wengine kujiunga na mtandao wa TIGO ili waweze kushiriki na hatimae kuibuka washindi.
Mshindi wa shindano la ‘Soka la AFRIKA limeitika’ Raphael Songelaeli 
 
“Mashindano ya Afcon 2023 yalipoanza nilianza kufatilia ambapo muda mwingi nilikuwa nautumia kucheza mara kwa mara na kuendelea kujikusanyia point hadi leo kuibuka mshindi wa mashindano haya ya ‘Soka la AFRIKA limeitika’ kwa kweli nawashukuru sana, fedha hizi nilizopata zitakwenda kunisaidia mimi na familia yangu, niwahamasishe na watu wengine kushirika mashindano mbalimbali yanayoendeshwa na mtandao wa TIGO ili na wao waweze kushinda”, amesema Raphael Songelaeli.
Meneja wa Kampuni ya TIGO Mkoa wa Shinyanga Sadock Mahundo akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mshindi wa shindano la ‘Soka la AFRIKA limeitika’ Raphael Songelaeli akizungumza mara baada ya kukabidhiwa zawadi ya hundi yenye thamani ya shilingi milioni kumi.
Wafanyakazi wa Kamuni ya TIGO tawi la Shinyanga katika picha ya pamoja wakati wa kukabidhi hundi kwa mshindi.
Baadhi ya watu waliojitokeza katika hafla fui ya utoaji wa zawadi kwa mshindi wa Soka la AFRIKA limeitika.
Wasanii wa kundi la Kambi ya Nyani wakitoa burudani wakati wa hafla hiyo.
Mwenyekiti wa mtaa wa Mwadui Manispaa ya Shinyanga Nuru Juma akizungumza wakati wa halfa hiyo.
Meneja masoko wa Kampuni ya Tigo Kanda ya Ziwa Musa Mwakapala akizungumza wakati wa hafla hiyo ya utoaji zawadi kwa mshindi.

About the author

Alex Sonna