Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA UINGEREZA MHE.TONY BLAIR IKULU ZANZIBAR.

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe Tony Blair, wakizungumza na kuagana baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor