Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA JENGO DKT. SAMIA SULUHU HASAN JIJINI TANGA

Written by mzalendo

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kitega Uchumi cha  Jiji la Tanga lililopewa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Cetre, eneo la Kange, Aprili 22, 2024. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Rajab Abdallah, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Buriani, Meya wa Jiji la Tanga, Abdulrahman Shillow na kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mohammed Salim.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kitega Uchumi  cha Jiji la Tanga lililopewa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Cetre, eneo la Kange, Aprili 22, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kitega Uchumi  cha Jiji la Tanga lililopewa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Cetre, eneo la Kange, Aprili 22, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Buriani (wa tatu kushoto, Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga  Pili Mnyema  na Mkuu wa Wilaya ya Tanga, James Kaji (kushoto) alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga ambako aliweka jiwe la misngi la ujenzi wa jengo la Kitega Uchumi cha  Jiji la Tanga lililopewa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Cetre, eneo la Kange , Aprili 22, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipanda mkarafuu baada ya kuweta jiwe la  msingi la ujenzi wa jengo la Kitega Uchumi cha  Jiji la Tanga lililopewa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Cetre, eneo la Kange , Aprili 22, 2024.  Wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Buriani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Muonekano wa  jengo la Kitega Uchumi cha  Jiji la Tanga lililopewa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Cetre, eneo la Kange ambalo Waziri Mkuu,  Kassim Majliwa aliweka jiwe la msingi la ujenzi wake, Aprili 22, 2024.  (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo