Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

WAZIRI MKENDA ATAKA WADAU WA ELIMU KUSHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA KUPANGA MIPANGO YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

Written by mzalendo

 

KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo,akizungumza leo Aprili 3,2024 jijini Dodoma wakati akifungua Mkutano wa mwaka wa pamoja wa tathimini wa sekta ya elimu kwa mwaka 2023/24 wenye kaulimbiu kuwa Mageuzi katika Elimu kwa Maendeleo Endelevu kwa niaba ya Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda

NAIBU  Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe,akielezea lengo la Mkutano wakati wa  Mkutano wa mwaka wa pamoja wa tathimini wa sekta ya elimu kwa mwaka 2023/24 wenye kaulimbiu kuwa Mageuzi katika Elimu kwa Maendeleo Endelevu unaofanyika jijini Dodoma.

NAIBU  Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Dk Charles Msonde,akizungumza wakati wa  Mkutano wa mwaka wa pamoja wa tathimini wa sekta ya elimu kwa mwaka 2023/24 wenye kaulimbiu kuwa Mageuzi katika Elimu kwa Maendeleo Endelevu unaofanyika jijini Dodoma.

MKUU  wa Kitengo cha Elimu Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) Dkt. Daniel Baheta ,akizungumza wakati wa  Mkutano wa mwaka wa pamoja wa tathimini wa sekta ya elimu kwa mwaka 2023/24 wenye kaulimbiu kuwa Mageuzi katika Elimu kwa Maendeleo Endelevu unaofanyika jijini Dodoma.

MKURUGENZI  wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT) Bi.Faraja Nyalandu ,akizungumza wakati wa  Mkutano wa mwaka wa pamoja wa tathimini wa sekta ya elimu kwa mwaka 2023/24 wenye kaulimbiu kuwa Mageuzi katika Elimu kwa Maendeleo Endelevu unaofanyika jijini Dodoma.

 

SEHEMU ya Washiriki wakimsikiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo (hayupo pichani) ,akizungumza wakati akifungua Mkutano wa mwaka wa pamoja wa tathimini wa sekta ya elimu kwa mwaka 2023/24 wenye kaulimbiu kuwa Mageuzi katika Elimu kwa Maendeleo Endelevu kwa niaba ya Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda ametoa wito kwa Wadau wa Elimu kushiriki kikamilifu katika kupanga Mipango ya Maendeleo ya Elimu na program mbalimbali kwa lengo la kuhakikisha elimu inaleta maendeleo kwa mtu mmoja mmoja, jamii na Taifa kwa ujumla.

Hayo yamesemwa leo Aprili 3,2024 jijini Dodoma na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Prof. Carolyne Nombo,wakati akifungua Mkutano wa mwaka wa pamoja wa tathimini wa sekta ya elimu kwa mwaka 2023/24 wenye kaulimbiu kuwa Mageuzi katika Elimu kwa Maendeleo Endelevu kwa niaba ya Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda

Prof.Nombo amesema kuwa Mkutano huu utawawezesha Wadau kujadili changamoto mbalimbali, kuweka mikakati ya  namna ya kukabiliana nazo, kuweka maazimio na mikakati mbalimbali ya Uboreshaji wa Elimu nchini.

 “Nimatumaini yangu wadau wote mnaoshiriki katika Mkutano  wa mwaka huu wa Tathmini ya Pamoja ya Maendeleo ya Sekta ya Elimu, mtatumia fursa hii kujadili kwa kina mawasilisho yatakayofanyika na kutoa maoni yenye tija katika kuboresha elimu yetu nchini.”amesema Prof.Nombo

 Amesema Kaulimbiu hiyo inaakisi mwelekeo wa Serikali katika mageuzi makubwa yaliyofanyika pamoja na yanayoendelea kufanyika ili  Elimu iwe chombo cha Kimkakati katika kuleta Maendeleo Endelevu  na kuwawezsha Watanzania kwendana na kasi ya mendeleo katika ulimwengu wa utandawazi .

“Wizara imefanya mageuzi makubwa kupitia: Mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 na sasa tuna Sera ya Elimu na Mafunzo 2014, Toleo la 2023; na pia Mitaala Mipya ya Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Ualimu.”

Nakuongeza kuwa” Sera ya Elimu na Mitaala ndiyo nyenzo mama katika utoaji Elimu nchini,  na hiwahakikishie uwa zimefanyiwa kazi kwa weledi mkubwa kwa kuzingatia mazingira yetu na hitaji la soko  na zitawasilishwa kwa kina katika Mkutano huu. “

Aidha amesema kuendeleza Rasilimaliwatu ni moja kati ya majukumu ya msingi yanayotekelezwa na Wizara ya Elimu kwa kushirikiana OR – TAMISEMI na Wadau wa Sekta ya Elimu.

“Eneo hili linajumuisha kuandaa na kutekeleza programu na mikakati mbalimbali inayolenga kuendeleza maarifa na ujuzi wa rasilimaliwatu nchini, kuanzia ngazi ya elimu ya awali hadi elimu ya juu ili kuwawezesha vijana kujiajiri na kuajirika ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu.”amesisitiza

Hata hivyo ametoa rai kwa washiriki,  kila mmoja kwa nafasi yake kushiriki kikamilifu katika tathimini hiyo ya pamoja ili Maazimio yatakayofikiwa na Mkutano huo yakawe Msingi thabiti wa utekelezaji wa ajenda ya Maendeleo Endelevu katika Sekta yetu ya Maendeleo.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Dk Charles Msonde amesema  Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya elimu na kuwa mkutano huo utakuwa ni fursa ya kuangalia hayo na kubainisha changamoto ili kuendelea kuboresha sekta hiyo ambayo ni muhimu katika mendeleo ya nchi.

Awali, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe amesema wadau kwa pamoja watajadili changamoto na mafanikio katika sekta ya elimu na hatimaye kuja na mikakati ya kuboresha sekta ya elimu.

About the author

mzalendo