Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kimataifa

WATAALAMU WA NGAZI YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA WAJENGEWA UWEZO WA UELEWA WA MWONGOZO WA UFUATILIAJI NA TATHMINI

Written by mzalendo

Baadhi ya Wajumbe wakifuatilia mawasilisho wakati wa kikao hicho.

Afisa Ufuatiliaji na Tathmini kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu ) Bw. Charlton Charles Meena akitoa wasilisho wakati wa kikao hicho.

Mkurugenzi wa Idara ya Kitaifa ya Ufuatiliaji na Tathmini ya Utendaji wa Serikali Bi. Sakina Mwinyimkuu Ofisi ya Waziri Mkuu akizungumza wakati wa kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Anderson Mutatembwa (hayupo pichani) ili kufungua kikao kazi cha Kujenga Uelewa wa majukumu na Upimaji wa Utendaji wa Serikali ngazi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, tarehe14 Machi, 2024.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Anderson Mutatembwa akizungumza wakatiufunguzi wa kikao kazi cha Kujenga Uelewa wa majukumu na Upimaji wa Utendaji wa Serikali ngazi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma tarehe 14 Machi, 2024.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Na Mwandishi wetu.

Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu imeandaa Mwongozo Jumuishi wa Ufuatiliaji na Tathmini kwa lengo la kutoa maelekezo katika hatua za kufuata kwenye ufuatiliaji wa afua za maendeleo, hatua za kitaalamu za maandalizi ya viashiria vya utendaji wa taasisi, kuanisha utaratibu wa kusimamia takwimu zitokanazo na ufuatiliaji wa shughuli za taasisi na kutoa mwongozo wa maandalizi ya taarifa za ufuatiliaji, tathmini, utekelezaji na utendaji wa Serikali.

Akizungumza wakati wa kufungua kikao kazi cha Kujenga Uelewa wa majukumu na Upimaji wa Utendaji wa Serikali ngazi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Dodoma Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Bw. Anderson Mutatembwa amesema Mwongozo huu umewasilishwa katika ngazi ya Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi na Wasaidizi wa U&T ngazi ya Wizara hivyo ni hatua muhimu katika kupata uelewa wa pamoja juu ya mwongozo husika na kutoa maoni kabla ya kusainiwa.

“Nisisitize kuwa, Mwongozo huu umekuja wakati muafaka ambapo shughuli za U&T ndani ya Idara na Vitengo vyenu zinatakiwa kufanyika kwa ubora na viwango vinavyotakiwa ” alisema Mutatembwa

Aidha Mutatembwa ameongeza kuwa Mwongozo unaainisha muundo wa usimamizi na majukumu ya kila taasisi kwa ngazi za Kitaifa, Kisekta na Wizara, Idara zinazojitegemea, Mashirika ya Umma, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa hivyo majukumu hayo yanaainisha kazi zinazotakiwa kutekelezwa ili kukamilisha upimaji wa utendaji wa kila taasisi na kuwezesha upatikanaji wa taarifa za utekelezaji na utendaji wa kila siku au pindi zinapohitajika.

“Nisisitize tena, matumizi ya Mwongozo huu yatawezesha Serikali kufuatilia, kutathmini na kupima utendaji wa taasisi zote katika ngazi za kitaifa na kisekta na kujenga msingi wa uwajibikaji wa taasisi husika kwenye mchango wa maendeleo na utoaji wa huduma kwa wananchi” aliongeza Mutatembwa.

Kwa Upande wake Mkurugenzi wa Idara ya Kitaifa ya Ufuatiliaji na Tathmini ya Utendaji wa Serikali Bi. Sakina Mwinyimkuu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu amesema nivizuri kuwa na Muongozo huu ili kuweza kuwa na utendaji ulimzuri kwenye kazi kwa manufaa ya Serikali.

“Naomba uwepo wenu kikamilifu katika kulitimiza kususdi la kuwepo kwetu hapa leo, maana ukiangalia kwa mwaka wa fedha uliopita na huu shauku kubwa imekuwa kwenye namna ya utendaji wa Serikali kwenye kuratibu na kusimamia utendaji wa Serikali na ninyi wenyewe mmekuwa mashahidi tunaporudi kule kwenye utekelezaji wa kazi zetu unaona namna ambavyo tunavyofanya kazi kwa hiyo matokeo yake tunanyang’anyana rasilimali lakini tutakapo kuwa na uratibu mzuri na utekelezaji mzuri wa sera na programu hizo changamoto tutazitatua.” Alisema Bi. Sakina.

Akifunga kikao kazi hicho Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Dkt. Wilson Mahela amewasisitiza watendaji kufanya kazi kwa bidii ili kumsaidi Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuwatumikia wananchi kwa kufanya tamthimini zenye uhalisia wa maeneo wanayofanyia kazi kwa lengo na kuinua Mapato ya maeneo yao na Nchi kwa ujumla.

“Unakuta kule kwenye halmashari kwasababu tumesema ni upimaji wa Serikali na vyeo mlivyopewa ni vikubwa sana na si kwamba unasimamia tu utendaji kazi wa halmashauri unakuta maafisa kilimo hawajulikani wanawajibika kwa nani unakuta wananchi wanapata shida kwa hiyo maana yangu ni kwamba ninyi mnamajukumu makubwa ya kwenda kusaidia si masuala ya tu ya bajeti bali na kutatua matatizo ya wananchi na mhakikishe mnaelewa hiyo miongozo yote kwa ufasaha zaidi.” Alisisitiza Mahela.

About the author

mzalendo