Featured Kitaifa

MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA TABORA NDUGU HASSAN WAKASUVI

Written by mzalendo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndugu Hassan Wakasuvi, Februari 24, 2024 Mkoani Tabora. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi hayo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibeba jeneza lililobeba mwili ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndugu Hassan Wakasuvi, Februari 24, 2024 Mkoani Tabora. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi hayo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki swala ya kumuombea aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndugu Hassan Wakasuvi, Februari 24, 2024 Mkoani Tabora. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi hayo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji wakati alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndugu Hassan Wakasuvi, Februari 24, 2024 Mkoani Tabora.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Khadija Said Mussa ambaye ni mjane wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndugu Hassan Wakasuvi, Februari 24, 2024 Mkoani Tabora. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi hayo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo