Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akichangia mjadala wakati wa Mkutano wa 27 Maspika na Wenyeviti wa Mabunge Wanachama wa Jumuiya ya Madola wakati wa uwasilishaji mada kuhusu usalama wa Wabunge unaofanyika katika Ukumbi wa Speke Resort Munyonyo nchini Uganda leo tarehe 6 Januari, 2024.