Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Michezo

MASHINDANO YA MBIO ZA BAISKELI ZA CRDB YAONGEZA SHANGWE KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA, ZAWADI NONO ZATOLEWA

Written by Alex Sonna
Mbio za baiskeli zikiendelea katika uwanja wa CCM Kambarage
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Tamasha la Mbio za Baiskeli Shinyanga lililoandaliwa na Benki ya CRDB ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere limehitimishwa kwa kishindo mkoani Shinyanga ambapo washindi wa mbio hizo wameondoka na zawadi nono ya Shilingi Milioni 7.2 huku unit zaidi ya 500 za damu salama zikipatikana.

 
Tamasha hilo limefanyika leo Jumamosi Oktoba 14,2023 katika Uwanja wa CCM Kambarage  Mjini Shinyanga likihusisha uchangiaji damu salama pamoja na burudani pendwa ya mbio za baiskeli kwa makundi ya wanaume na wanawake.
 
Akizungumza kwenye kilele cha Mbio za Baiskeli za CRDB Shinyanga (Shinyanga CRDB Cycling Rally) , Mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Prof. Siza Tumbo akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme, ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuandaa tamasha hilo kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akisema zimesaidia kuutangaza mkoa huo na kufungua zaidi fursa za kiuchumi na uwekezaji.
 
 
“Maadhimisho ya Sisi Shinyanga tunaadhimisha Kumbukumbu ya Siku ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa kuunga mkono jitihada za serikali katika kumuenzi Baba wa Taifa ikiwa ni pamoja na hitimisho la mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2023. Wananchi changamkieni fursa zinazotolewa katika Benki ya CRDB”,amesema.
Mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Prof. Siza Tumbo akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme.
 
“Mbio hizi sio tu zinatoa fursa kwa wananchi wanaoshiriki kuimarisha na kulinda afya zao, bali washindi wanapata zawadi zinazowahamasisha wao na wengine kuendelea kushiriki mbio hizi. Baada ya mbio hizi ambazo zimepata umaarufu mwaka hadi mwaka zikifanyika kwa mafanikio kwa miaka minne sasa, tunaamini kabisa kwamba iwapo utafiti utafanyika leo hii, hatutashangaa kusikia Mkoa wa Shinyanga unaongoza kwa idadi kubwa ya baiskeli jambo ambalo litakuwa limechangiwa na Benki ya CRDB”,amesema Prof. Tumbo.
 
“Mbio hizi zimetoa fursa ya kuutangaza mkoa wetu pamoja na kufungua fursa za kiuchumi kwa wananchi na wafanyabiashara. Kadri miaka inavyozidi Kwenda, umaarufu wa mbio hizi unazidi kuongezeka hivyo basi, wakati Benki ya CRDB ikifungua njia, naziomba kampuni nyingine nazo kuangalia namna ya kufungua fursa za mkoa wetu huu jambo litakalosaidia kuboresha maisha ya wananchi,” ameongeza.
 
Endapo mbio hizo zitaendelezwa na kuwakaribisha washiriki kutoka kote nchini hata nje ya mipaka ya Tanzania, amesema anaamini zitaitangaza vyema Shinyanga na kutoa fursa kwa vijana kushiriki mashindano ya aina hiyo kimataifa jambo litakaloimarisha kipato chao.
 
Kabla ya kuhitimishwa kwa mbio hizo, zilitanguliwa na shughuli za kijamii ikiwamo kuchangia damu ambapo zaidi ya chupa 500 za damu salama zimekusanywa kwa ajili ya wagonjwa wenye uhitaji wanaotibiwa katika hospitali na vituo vya afya mkoani humo na nchini kote kwa ujumla.
 
Katika hotuba ya Meneja wa Benki ya CRDB kanda ya Magharibi, Jumanne Wagana iliyosomwa na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Shinyanga ,amesema mbio hizo hufanyika kila mwaka siku ya kumbukumbu ya baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambaye alipenda kila mwananchi kuwa huru kiuchumi kwa kujituma kufanya kazi kulingana na fursa zilizopo kwenye eneo alilopo.
 
Amesema Benki ya CRDB ni mdau mkubwa wa michezo nchini kutokana na imani kubwa kwamba inajenga ushirikiano, mshikamano, na kuwaleta watu pamoja hivyo kuwa rahisi kuleta maendeleo katika jamii.
Wanawake waendesha baiskeli wakizunguka uwanja wa CCM Kambarage mara 30 ambapo mshindi wa kwanza ni Kipepeo Futi Mbili
 
“Baada ya kuimarisha afya kitu muhimu ni kuwa na uchumi imara. Benki ya CRDB inayo zaidi ya matawi 260 nchini kote ambako wananchi wanaweza kuyatumia kuzichangamkia fursa walizonazo. Mtu mwenye afya njema tayari anao mtaji wa kuanzia kufanikisha mlengo yake. Naomba tuendelee kujitokeza kwenye michezo mbalimbali inayofanyika kwenye maeneo yetu kwani iasaidia kwa kiasi kikubwa kuimarisha afya,” ameongeza.
 
Licha ya mbio hizo za baiskeli, Benki ya CRDB pia huandaa na kusimamia mbio za kimataifa zijulikanazo kama CRDB Bank Marathon huku ikidhamini mingine kadhaa zikiwamo jezi za Zanzibar Heroes, Simba Day na Wiki ya Mwananchi, na ni mfadhili timu ya Namungo inayoshiriki Ligi Kuu Bara na inadhamini Mashindano ya CRDB Bank Ngalawa Race yanayofanyika Kizimkazi visiwani Zanzibar. 
 
Amefafanua kuwa , Katika kuwezesha shughuli za kiuchumi, kuanzia Aprili mwaka jana mpaka sasa hivi, Benki ya CRDB imekopesha zaidi ya shilingi bilioni 6 kwa wachimbaji wadogo wa madini mkoani Shinyanga huku shilingi bilioni 65.3 zikielekezwa kwenye kilimo hasa cha mpunga na pamba hivyo kuwesha ununuzi wa zana za kilimo, pembejeo pamoja na kuimarisha masoko ya mazao yanayovunwa kila mwaka. Vilevile, kupitia mradi wa Keti Jifunze inaoutekeleza nchini kote, imetoa madawati 250 katika shule mbili za msingi na sekondari moja ili kuboresha mazingira ya kujifunzia. 
 
“Benki yetu pia inayo programu ya Imbeju inayotoa mtaji wezeshi kwa vijana na wanawake. Fursa hii ni kwa ajili ya watu wote tukiwamo wakazi wa Shinyanga na vitongoji vyake. Nawakaribisha vijana wenye mawazo na miradi yenye ubunifudani yake pamoja na wanawake mliopo kwenye vikundi vinavyojihusisha na masuala ya ujasiriamali, tunazo fursa kwa ajili yenu,” amesisitiza . 
 
 
Katika Mashindano hayo, jumla ya shilingi Milioni 7.2 zimetolewa na Benki ya CRDB kama zawadi washindi wa mbio za baiskeli wa kwanza hadi wa 10 katika makundi ya wanaume na wanawake ambapo kwa upande wa Wapanda Baiskeli Wabobezi waliokimbia Km 150 kutoka Kambage Shinyanga Mjini hadi Isaka Kahama na kurudi mshindi wa kwanza ni Kulwa Gelard aliyeondoka na kitita cha shilingi Milioni 1.5.

 

Mshindi wa Kwanza , Makirikiri Joseph akimaliza kwa kupiga saluti mbio za kundi la Wanawake waendesha baiskeli wakiwa na ndoo kichwani waliozunguka uwanja wa CCM Kambarage mara 10
 

 

Nao wapanda Baiskeli wanaochipukia waliokimbia Km 100 mshindi wa kwanza ameibuka na kitita cha shilingi 700,000 na wapanda baiskeli wakongwe mshindi wa kwanza ameondoka na zawadi ya shilingi 150,000/=, wanawake wanaokimbia na ndoo za maji kichwani waliozunguka uwanja wa CCM Kambarage mara 10 mshindi wa kwanza Makirikiri Joseph akiondoka na zawadi ya shilingi 30,000/= na wanawake waliozunguka uwanja wa CCM Kambarage mara 30 mshindi wa kwanza Kipepeo Futi mbili aliyeondoka na kitita cha shilingi 500,000/=.
 
TAZAMA PICHA HAPA CHINI
Mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Prof. Siza Tumbo akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme kwenye kilele cha Mbio za Baiskeli za CRDB Shinyanga (Shinyanga CRDB Cycling Rally) leo Jumamosi Oktoba 14,2023 – Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Luther Mneney akizungumza kwa niaba ya Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Jumanne Wagana kwenye kilele cha Mbio za Baiskeli za CRDB Shinyanga (Shinyanga CRDB Cycling Rally) leo Jumamosi Oktoba 14,2023
Meneja  Mahusiano Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi , Deogratius Mambo akizungumza kwenye kilele cha Mbio za Baiskeli za CRDB Shinyanga (Shinyanga CRDB Cycling Rally) 

Mwneyekiti wa Cha Baiskeli Mkoa wa Mwanza, Elizabeth     Sospeter Sayayi akizungumza kwa niaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Baiskeli Taifa kwenye kilele cha Mbio za Baiskeli za CRDB Shinyanga (Shinyanga CRDB Cycling Rally)
Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Prof. Siza Tumbo ( wa kwanza kushoto) akifuatilia Mbio za Baiskeli za CRDB Shinyanga (Shinyanga CRDB Cycling Rally)
Wadau wakifuatilia Mbio za Baiskeli za CRDB Shinyanga (Shinyanga CRDB Cycling Rally)
Waendesha baiskeli Chipukizi wakimaliza Mbio za Baiskeli Km 100
Mshindi wa kwanza mbio za Baiskeli kundi la Wabobezi Kulwa Gelard akimaliza mbio za Km 150
Wanawake waendesha baiskeli wakizunguka uwanja wa CCM Kambarage mara 30 ambapo mshindi wa kwanza ni Kipepeo Futi Mbili
Mbio za baiskeli zikiendelea katika uwanja wa CCM Kambarage
Mbio za baiskeli zikiendelea katika uwanja wa CCM Kambarage

 

Wanawake waendesha baiskeli wakiwa na ndoo za maji kichwani wakizunguka uwanja wa CCM Kambarage mara 10.

 

Mshindi wa Kwanza , Makirikiri Joseph akimaliza kwa kupiga saluti mbio za kundi la Wanawake waendesha baiskeli wakiwa na ndoo kichwani waliozunguka uwanja wa CCM Kambarage mara 10
Mbio za baiskeli zikiendelea
Wadau wakifuatilia Mbio za baiskeli 
Wadau wakifuatilia Mbio za baiskeli 
Wadau wakifuatilia Mbio za baiskeli 
Wadau wakifuatilia Mbio za baiskeli 
Mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Prof. Siza Tumbo akimpatia cheti cha shukrani Mwenyekiti wa Chama cha Baiskeli Mkoa wa Shinyanga Salula Gacha kuwa mdau mkubwa katika mchezo wa baiskeli  wakati wa kilele cha Mbio za Baiskeli za CRDB Shinyanga (Shinyanga CRDB Cycling Rally) leo Jumamosi Oktoba 14,2023
Mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Prof. Siza Tumbo akikabidhi zawadi kwa mshindi wa kwanza wa mbio za baiskeli Kulwa Gelard kundi la wanaume waliokimbia mbio za Km 150. Kulwa Gelard ameondoka na kitita cha shilingi Milioni 1.5
Mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Prof. Siza Tumbo akimvalisha medali ya dhahabu na kukabidhi zawadi kwa mshindi wa kwanza wa mbio za baiskeli Kulwa Gelard kundi la wanaume waliokimbia mbio za Km 150. Kulwa Gelard ameondoka na kitita cha shilingi Milioni 1.5
Mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Prof. Siza Tumbo akikabidhi zawadi kwa washindi wa mbio za baiskeli kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme
Mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Prof. Siza Tumbo akikabidhi zawadi kwa washindi wa mbio za baiskeli kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme
Mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Prof. Siza Tumbo akikabidhi zawadi kwa washindi wa mbio za baiskeli kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme
Mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Prof. Siza Tumbo akikabidhi zawadi kwa washindi wa mbio za baiskeli kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme
Mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Prof. Siza Tumbo akikabidhi zawadi kwa washindi wa mbio za baiskeli kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme
Zoezi la uchangiaji damu slama likiendelea katika uwanja wa CCM Kambarage
Mratibu wa Damu Salama Mkoa wa Shinyanga Dkt. Joel Mbale (kushoto) akimwelezea  Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Prof. Siza Tumbo kuhusu zoezi la uchangiaji damu salama lilivyofanyika kupitia Benki ya CRDB
Zoezi la utoaji huduma za kufungua Akaunti za CRDB likiendelea katika uwanja wa CCM Kambarage
Zoezi la utoaji huduma za kufungua Akaunti za CRDB likiendelea katika uwanja wa CCM Kambarage
Zoezi la utoaji huduma za kufungua Akaunti za CRDB likiendelea katika uwanja wa CCM Kambarage
Maafisa kutoka Chama cha Msalaba Mwekundu (Red Cross) wakiwa katika uwanja wa CCM Kambarage
Picha za kumbukumbu zikipigwa kwenye kilele cha Mbio za Baiskeli za CRDB Shinyanga (Shinyanga CRDB Cycling Rally)
Picha za kumbukumbu zikipigwa kwenye kilele cha Mbio za Baiskeli za CRDB Shinyanga (Shinyanga CRDB Cycling Rally) leo Jumamosi Oktoba 14,2023 – Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

About the author

Alex Sonna