Featured Kitaifa

CHATANDA ATAKA WAZAZI KUWA MAKINI SUALA LA MALEZI YA WATOTO

Written by mzalendoeditor

 

Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Chatanda ameshiriki mbio za Mwenge wa Uhuru Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya.
Akizungumza leo katika Mkesha wa Mwenge wa Uhuru Wilayani Mbarali Mwenyekiti Chatanda amewataka wazazi na walezi wa watoto kuwa makini juu ya suala la maadili ambalo limekuwa ni changamoto kubwa katika Taifa letu.
 
“Ndugu wazazi wenzangu tuwe makini na vijana wetu kwani hali imekuwa mbaya dunia imeharibika tuongeze umakini kwenye suala la malezi ya watoto wetu”, Chatanda amesema
UWT IMARA JESHI LA MAMA KAZI IENDELEE
 

About the author

mzalendoeditor