Featured Kitaifa

UJENZI WA MNARA WA SIMU KATA YA LIGHWA UMEANZA

Written by mzalendoeditor

Ujenzi wa mnara wa simu kata ya Lighwa umeanza.

Hatua hiyo ni baada ya mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu kuielezea changamoto ya mawasiliano hafifu kwenye Kata za Mang’onyi na Lighwa bungeni na hatimaye serikali kuchukua hatua kwa kukubali kujenga mnara huo kupitia mkandarasi aliyepewa kazi hiyo TTCL .

About the author

mzalendoeditor