Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

KIGAHE AZITAKA TAASISI ZA WIZARA YAKE KUPANGA MIPANGO INAYOTEKELEZEKA

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akihutubia Kikao washiriki wa Kikao kati ya Viongozi wa Wizara na Wakuu wa Taasisi kilichofanyika Agosti, 2023, Arusha.

Kikao hicho kililenga kujadiliana na kuimarisha ushirikiano katika kutatua changamoto pamoja na utekelezaji wa jitihada mbalimbali zinazolenga kuendeleza Sekta ya Viwanda na Biashara.

Mwenyekiti wa Wakuu wa Taasisi zilizochini ya Wizara na Mkuugenzi Mkuu wa TIRDO Prof. Madundo Mtambo pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa WMA Bi Stella Kahwa wamesema Kikao kazi hicho ni muhimu kwa kiwa kinawawezesha kutatua changamoto zinazowakabili na kutekeleza majukumu ya taasisi zao kwa ufanisi.

 

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Hashil Abdalah pamoja na Viongozi wengine wakiongozwa na Mwenyekiti wa Wakuu wa Taasisi zilizochini ya Wizara Prof. Madundo Mtambo baada ya kuwasili katika ukumbi wa CAMARTEC kwa ajili ya ufunguzi wa Kikao kati ya Viongozi wa Wizara na Wakuu wa Taasisi kilichofanyika Agosti, 2023, Arusha.

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) ameiagiza Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake kuhakikisha Mipango yote inayopangwa kila mwaka inaendana na mwelekeo wa Viongozi Wakuu wa Nchi, Mipango ya Kitaifa na Kimataifa, Ilani ya Uchaguzi pamoja na kufanya ufuatiliaji na tathimini ili kujua viwango vya utekelezaji wake.

Kigahe ameyasema hayo Agosti 23, 2023 alipokuwa akifungua Kikao Kazi cha Menejimenti na Wakuu wa Taasisi zilizochini ya Wizara kilichofanyika katika Ukumbi wa CAMARTEC, Arusha kwa lengo la kujadiliana na kuimarisha ushirikiano katika utatuzi wa changamoto na utekelezaji wa jitihada mbalimbali za kuendeleza Sekta ya Viwanda na Biashara.

Aidha, Kigahe amezitaka Taasisi hizo zinazojumuisha TIRDO, TEMDO, NDC , CAMARTEC, TBS, WMA, BRELA, FCC, FCT, TANTRADE na CBE kuhakikisha zinakuwa mstari wa mbele kuweka mazingira bora na wezeshi katika Sekta ya Viwanda na Biashara inayotegemewa na sekta muhimu za uzalishaji kama kilimo, mifugo, uvuvi, madini na maliasili kwa viwanda vya kuongeza thamani mazao na masoko ya bidhaa hizo.
 
Vilevile, Wakati akiongea na Benki ya NMB, amezishauri Taasisi za Kifedha kupanua wigo wa utoaji wa huduma za kifedha ndani na nje ya nchi pamoja na kupunguza masharti ya utoaji wa mikopo ili kuwawezesha wafanyabiashara wengi kianzisha na kuendeleza biashara zao na kukuza uchumi wa Taifa kwa ujumla.

Naye, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema lengo kuu la Kikao Kazi hicho ni kutafsiri majukumu na shughuli zote za Wizara na Taasisi zake kwa kuzingatia maelekezo yaliyotolewa katika kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma,kilichofanyika Agosti 19, 2023 kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kutoka taasisi za umma na Binafsi zikiwemo taasisi za fedha.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Wakuu wa Taasisi zilizochini ya Wizara na Mkuugenzi Mkuu wa TIRDO Prof. Madundo Mtambo pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa WMA Bi Stella Kahwa wamesema Kikao kazi hicho ni muhimu kwa kiwa kinawawezesha kutatua changamoto zinazowakabili na kutekeleza majukumu ya taasisi zao kwa ufanisi.

Awali, akitoa elimu kwa wajumbe Kikao hicho, Mkuu wa Kitengo cha Taasisi za Serikali na Binafsi Makao Makuu ya Benki ya NMB, Bw William Makoresho amesema NMB iko tayari kushirikiana na Taasisi hizo ili kuwawezesha wafanyabiashara kuanzisha na kuendeleza biashara zao .

About the author

Alex Sonna