Featured • Kitaifa SPIKA DKT.TULIA ATETA NA MKURUGENZI MKUU CRDB 2 years agoby Alex Sonna26 Views Written by Alex Sonna Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg. Abdulmajid Nsekela katika Ofisi ndogo za Bunge zilizopo Jijini Dar es Salaam FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn