Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tipobet

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

MRADI WA MAJITAKA MBEZI BEACH UMELENGA KUBORESHA USAFI WA MAZINGIRA -MHE.MARYPRISCA

Written by Alex Sonna
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
 
NAIBU Waziri wa Maji Mhe.Maryprisca Mahundi amefanya ziara ya kutembelea Mradi wa ujenzi wa mfumo wa Majitaka Mbezi Beach ambapo ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kuona umuhimu wa kuwepo kwa mradi huo.
 
Akizungumza mara baada ya kufanya ziara hiyo leo Agosti 21,2023 Jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri Mahundi amesema mradi huo utagharimu zaidi ya shilingi bilioni 52 mpaka utakapokamilika ndani ya miezi 18.
 
“Mpaka sasa mradi wa huu wa kuondosha majitaka katika jamii na kwenda kuyatunza katika mazingira ambayo yanaweza yakarudi tena kwenye mzunguko wa matumizi, umeanza kwa kasi na utekelezaji upo ndani ya muda na Serikali kupitia DAWASA imeshatoa malipo ya awali ya bilioni 7 ili kuhakikisha utekelezaji unakwenda kwa kasi”. Amesema Mhe.Mahundi.
 
Aidha amesema “Hii ni moja ya jitihada za Serikali chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia za kuwekeza fedha za kuboresha maisha ya Watanzania na tayari Wizara tumeshasaini mkataba mkubwa wa kutekeleza miradi mikubwa ya majitaka na usafi wa mazingira katika mikoa mingine,”
 
Pamoja na hayo amesema kuwa miradi hii ambayo ameitembelea ikiwemo ya ujenzi wa vituo vya huduma za usafi wa mazingira kwa jamii na ujenzi wa mfumo wa kukusanya majitaka Mbezi Beach ni miradi ya mfano nchini ambayo imelenga kuboresha Usafi wa Mazingira na afya za wakazi Dar es Salaam.
 
“Nimetembelea utekelezaji wa miradi hii na nimeona ufanisi wa hali ya juu. Nitoe wito kwa Mamlaka nyingine nchini kujifunza kwa DAWASA namna ya kubuni na kutekeleza miradi yenye kuakisi hali halisi ya uboreshaji wa usafi wa mazingira katika maeneo yao,” ameeleza Mhandisi Maryprisca.
 
Kwa upande wake Mwakilishi wa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Shabani Mkwanywe amesema kuwa Mamlaka imejipanga kuhakikisha inatekeleza miradi ya usafi wa mazingira yenye uwezo wa kuendana na ongezeko la kiwango cha maji kinachozalishwa pamoja na ongezeko la idadi ya watu katika mkoa wa Dar es Salaam na Pwani.
 
“DAWASA tunatekeleza miradi ya mkakati ya Usafi wa Mazingira inayohusisha ujenzi wa mitambo ya kisasa ya kuchakata majitaka katika maeneo ya Mbezi Beach, Buguruni pamoja na kukarabati mabwawa ya Kurasini ili kuongeza ufanisi,” amesema.
 
Mhandisi Mkwanywe amesema kuwa kwa sasa tunaongeza nguvu kwenye miradi ya uondoshaji majitaka ambayo ni matokeo ya uboreshaji wa huduma ya Majisafi. Hivyo mradi huu wa Mbezi beach, ni wa mfano na unatekelezwa na Serikali kwa ushirikiano na Benki ya Dunia kwa bilioni 120. Katika awamu ya kwanza, mradi unagharimu bilioni 52, ambapo mpaka sasa bilioni 7 malipo ya awamu ya kwanza yameshalipwa.
 
“Mradi huu ni wa kisasa ambao utahusisha kazi ya kukusanya majitaka toka majumbani na baada ya kuchakatwa katika mtambo wa kisasa utakaojengwa Mbezi Beach, na pamoja na maji, mtambo utazalisha gesi asilia na mbolea,” ameeleza Mhandisi Mkwanywe

About the author

Alex Sonna