Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

REA KUGAWA MITUNGI YA GESI YA KUPIKIA 2,700 KILA MKOA

Written by Alex Sonna

MKURUGENZI Mkuu Wakala wa Nishati Vijijini (REA),akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Agosti 18,2023 jijini Dodoma wakati akitoa taarifa kuhusu utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya wakala huo na mwelekeo wa mwaka wa fedha 2023/24.

MKURUGENZI Mkuu Wakala wa Nishati Vijijini (REA),akijibu maswali mbalimbali yaliyoulizwa na  waandishi wa habari leo Agosti 18,2023 jijini Dodoma wakati akitoa taarifa kuhusu utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya wakala huo na mwelekeo wa mwaka wa fedha 2023/24.

 

Na.Alex Sonna-DODOMA

KATIKA  Mwaka wa fedha 2023/24,Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imepanga kugawa mitungi ya gesi ya kupikia (LPG) 2,700 kila mkoa ili kuongeza matumizi ya nishati safi ambayo yatasaidia kulinda na kuhifadhi mazingira ambapo hekta 400,000 za misitu zinaharibiwa kila mwaka kutokana na shughuli za kibinadamu.

Hayo yamesemwa leo Agosti 18,2023 jijini Dodoma na Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy,wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya wakala huo na mwelekeo wa mwaka wa fedha 2023/24.

Mhandisi Saidy amesema kuwa lengo la serikali ni kubadili mitizamo ya wananchi katika matumizi ya nishati chafu ili kujikita katika matumizi ya nishati safi ya gesi na umeme ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kutaka taasisi zinazohudumia watu zaidi ya 300 kuacha matumizi ya kuni na mkuu.

“Wakala, umeanza kutekeleza Mradi wa kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia kwa utaratibu wa utoaji ruzuku kuwezesha usambazaji wa mitungi ya gesi ya kupikia (LPG) 71,000  yenye thamani ya Sh. bilioni tatu pamoja na majiko banifu 200,000 katika maeneo ya vijijini.

“Kwa mwaka wa Fedha 2023/24 jumla ya fedha  takribani Sh. bilioni 10 zimetengwa kwa ajili ya kufanikisha mradi huo”amesema Mhandisi Saidy 

Amesema , mradi mwingine ni ule wa kusambaza gesi asilia ya kupikia katika Mikoa ya Mtwara, Lindi na Pwani pembezoni mwa Mkuza wa bomba kuu la kusafirisha gesi asilia.

Vile vile, amesema utekelezaji wa Mradi huo utahusisha REA na TPDC kwa mwaka wa fedha 2023/24 na jumla ya Sh. bilion 20 zinatarajiwa kutumika.

“Mradi huu utahusisha ujenzi wa bomba la kusafirishia gesi asilia (CNG) lenye urefu wa km 44.4 (Mnazi Mmoja – Lindi (km 22.9) na Mkuranga – Pwani (km 21.5) ambapo jumla ya nyumba/wateja 980 kunufaisha (Mnazi Mmoja – Lindi, wateja 451 na Mkuranga-Pwani, wateja 529)”amesema

Hata hivyo, amesema Serikali kupitia REA kwa kushirikiana na Benki ya Dunia (WB) imetenga Dola za Kimarekani milioni sita kwa ajili ya mradi wa usambazaji wa majiko banifu ya kupikia 200,000 katika maeneo ya vijijini na vijiji miji Tanzania bara.

Aidha amesema kuwa REA ipo katika mchakato wa kuanzisha vituo maalum kwa ajili ya kupima gesi vijijini zinazotumika kupikia majumbani ili kuwezesha wananchi wengi kutumia nishati hiyo na kuondokana na matuzi ya kuni na mkaa yenye athari kubwa kiafya,kimazingira na kiuchumi.

Mhandisi Saidy amesema  katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi nchini REA, imepanga kuhakikisha kuwa gesi inapatika katika maeneo ya vijijini kwa gharama ambazo mwanachi wa kawaida anaweza kuzimudu.

“Katika kufanikisha hilo hivi sasa Wakala wa Nishati Vijijini tupo katika mazungumzo na Kampuni ya PUMA ili kujenga vituo vya kupima gesi katika maeneo mbalimbali ili kuwezesha wananchi kupata hudumu kulingana na kiasi cha fedha walizonazo.

“Vituo hivi vya kupima gesi vitawezesha wananchi kupata huduma kwa fedha waliyonayo utakuwepo utaratibu ambao utawezesha mtu kupima gesi kwa fedha aliyonayo akitaka kilo moja anapata siyo kama ilivyo sasa mtu analazimishwa kununua kulinga na ujazo uliopo”amesema 

Ameeleza kuwa wanaendelea na jitihada na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa matumizi ya nishati safi na kuachana na matumizi ya nishati chafu katika maeneo mbalimbali nchini.

“Wananchi wamekuwa na hofu kuhusu upatikanaji wa nishati safi lakini pia bei yake lakini niwahakikishie kuwa gharama za matumizi ya gesi ni ndogo ukilinganisha na matumizi ya kuni na mkaa ambayo yanaathari kubwa kiuchumi,kiafya na kimazingira”amesema

About the author

Alex Sonna