Featured Kitaifa

RAIS SAMIA APOKEA MACHAPISHO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa Kikao kilichofanyika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.

About the author

mzalendoeditor