Featured Kitaifa

NEC YASHIRIKI MAONESHO YA KILIMO NANE NANE KANDA YA KATI

Written by mzalendoeditor

Wananchi waliotembelea banda la Tume, wakiangalia Album iliyo na picha za uteuzi wa wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Afisa wa NEC, Nuru Riwa akitoa amelezo kw mgeni aliyefika katika Banda la Tume.

Afisa wa NEC, Loshilu Saning’o akitoa amelezo juu ya matumizi ya BVR inavyo  fanya kazi wakati wa uboreshaji.

Maofisa wa Tume wakitoa Elimu ya Mpiga Kura kwa wageni waliofika Bandani.

Maofisa wa Tume wakitoa Elimu ya Mpiga Kura kwa wageni waliofika Bandani.
 

 

 

About the author

mzalendoeditor