Featured Kitaifa

NDEJEMBI ASHIRIKI MKUTANO WA NCHI ZA AFRIKA UNAOHUSU RASILIMALIWATU

Written by mzalendoeditor

Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi (Wa kwanza kulia) akiwa na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Dkt. Stergomena Tax na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega katika picha ya pamoja mara baada ya kuhudhuria Mkutano wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimaliwatu uliofanyika JNICC Dar es Salaam.

About the author

mzalendoeditor