Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

WASICHANA 418 HAWAKUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2022 SABABU YA MIMBA

Written by Alex Sonna

 

Kamishna wa Ustawi wa Jamii nchini Dkt. Nandera Mhando akizungumza na washiriki wa Uzinduzi wa Mradi wa HAPANA MAREFU YASIYO NA MWISHO, unaosimamiwa na kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, kwa niaba ya Waziri wa Maendeleo ya Ja.ii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma Julai 03,2023

Mhashamu Baba Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Fedrick Shoo ambaye ni Mwenyekiti wa Mradi wa HAPANA MAREFU YASIYO NA MWISHO, akitoa Salaam za Kanisa wakati wa Uzinduzi wa Mradi huo jijini Dodoma Julai 03,2023

Mratibu wa Mradi wa HAPANA MAREFU YASIYO NA MWISHO Patricia Mwaikenda, akitoa Maelezo ya jinsi Mradi huo utakavyotekelezwa kwa Miaka mitatu kabla ya uzinduzi wake katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma Julai 03,2023.

 

Baadhi ya Washiriki wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa HAPANA MAREFU YASIYO NA MWISHO wakifuatilia matukio m alimbali yanayoendelea wakati wa uzinduzi huo, jijini Dodoma Julai 03,2023 

Kamishna wa Ustawi wa Jamii nchini Dkt. Nandera Mhando pamoja na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania Dkt. Fedrick Shoo, wakibonyeza Kitufe kuashiria kuzinduliwa kwa Mradi wa HAPANA MAREFU YASIYO NA MWISHO wenye lengo la kuwanusuru watoto wa kike na Ndoa za Utotoni na kuwapa nafasi ya kupata elimu jijini Dodoma Julai 03,2023

Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando, kwenye Picha ya pamoja na viongozi mbalimbali walioshiriki Uzinduzi wa Mradi wa HAPANA MAREFU YASIYO NA MWISHO jijini Dodoma Julai 03,2023

(Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM).

Na WMJJWM, Dodoma

Kamishna wa Ustawi wa Jamii Nchi Dkt. Nandera Mhando amesema Takwimu za utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria kupitia viashiria vya mwaka 2022 zinabainisha kwamba jumla ya wasichana 418 hawakumaliza elimu ya msingi kwa sababu ya mimba.

Hayo yamesemwa na Kamishna wa Ustawi wa Jamii nchini Dkt. Nandera Mhando, alipomwakilisha Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima Julai 03, 2023 jijini Dodoma kwenye Uzinduzi wa Mradi wa HAPANA MAREFU YASIYO NA MWISHO.

Dkt. Nandera amesema kwa mujibu wa taarifa ya Utafiti huo mwaka 2015/16 asilimia 27 ya wasichana wenye umri wa kati ya miaka 15 hadi 19 wamepata ujauzito kwa mikoa ya katavi (45%), Tabora (43%), Dodoma (39%), Morogoro (39%) na Mara (37%).

Dkt. Nandera amesema kuzinduliwa kwa Mradi huo, chini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania kutaongeza wigo wa afua za kupambana na Ndoa za Utotoni hivyo ametoa rai kwa Viongozi wa Dini wakati mchakato wa kuzifanyia mabadiliko sheria mbalimbali ikiwemo sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ukiendelea, kutoe maoni yao ili yajumuishwe kabla ya kupelekwa Bungeni.

“Mimba za utotoni bado ni tatizo kubwa na kikwazo kikubwa kwa wasichana kukamilisha mzunguko wao wa elimu hapa nchini na ndoto zao. Mimba za utotoni licha ya kuzorotesha masomo ya mtoto wa kike, pia zina madhara ya kiafya yaani husababibisha ongezeko la vifo vya mama na mtoto hapa nchini. Amesema Dkt. Mhando na kuongeza

Akitoa Salaam za Kanisa, Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, (KKKT) Dkt. Fedrick Shoo amesema, uzinduzi huo ni ishara kuwa Tanzania ina baraka za kipekee, kwani linapokuwa jambo linayoigusa Jamii wanafanya kwa pamoja.

“Sisi ni Tanzania kwanza, kama kuna jambo linamhusu mtoto wa kitanzania ni la kwetu sote bila kujali tofauti ya Dini zetu” amesema Dkt. Shoo.

Ameongeza pamoja na kazi yao kuu ya kueneza Injili, lakini pia wamekuwa wakitoa huduma za kijamii, kwa sababu hata Yesu Kristo Mwenyewe alizifanya, kwani sio sawa kuitwa Kanisa kama hatuwezi kumuhudumia Mwanadamu Kiroho Kimwili na kiakili ” alisisitiza Dkt. Shoo.

Dkt. Shoo amesema, wanatamani kutokomeza Ndoa za Utotoni, na kuleta Mabadiliko ya kisheria.

“Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971, tunaona inahitaji mabadiliko, mtoto wa kike wa Miaka 14, 16 au 17 hawa bado niwa Mtoto, hivyo tutashirikiana na Serikali kuona Mabadiliko yanatokea” ameongeza Dkt. Shoo.

Akitoa Ushuda wakati wa Uzinduzi huo wa Mradi Marefu Yasiyokuwa na Mwisho, Binti Elizabeth Sagath amesema, wapo wasichana wengi wanaotamani kufikia Ndoto zao lakini mila na Desturi zimekuwa kikwazo kwao.

“Mimi kwa sasa nasoma Chuo cha Diplomasia shahada yangu ya kwanza, lakini Baba yangu hakuwa tayari kuona ndoto zangu zinatimia kwani nilipo hitimu darasa la saba tu, alichukua Mahari ili mimi niolewe, walionisadia ni kanisa” alisema Elizabeth, aliyenusurika mara mbili kuozwa.

Akizungumzia Utekelezaji wa Mradi huo Mratibu wa Mradi, Patricia Mwaikenda amesema unategemea kuwafikia watoto wa kike 2400 kwenye Vijiji 24 na maeneo lengwa ni Zanzibar, Tabora, Morogoro, Mwanza na Dodoma.

Mradi wa Marefu Yasiyo na Mwisho utadumu kwa Miaka mitatu na utatumia Bil. 2.5.

About the author

Alex Sonna