Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

DKT.ABDALLAH:SERIKALI ITAENDELEA KUWAENZI,KUWALINDA NA KUWATUNZA WAWEKEZAJI NCHINI

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwa pamoja na uongozi wa Mkoa wa Iringa na akiangalia marine board zinazotengenezwa na malighafi za vinia alipotembelea Kiwanda cha East Africa Shenyuan Group kilichopo Mufindi Iringa Juni 24, 2023 baada ya kusikiliza changamoto za Wamiliki wa Viwanda hivyo. Kiwanda hicho kinachozalisha Plywood, Marine Boards na MDF kwa kutumia malighafi ya vinia inayotokana na Miti.

Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwa pamoja na uongozi wa Mkoa wa Iringa na wakitembelea Kiwanda cha Yisen International Company kilichopo Mufindi Iringa Juni 24, 2023 baada ya kusikiliza changamoto za Wamiliki wa Viwanda hivyo. Kiwanda hicho kinachozalisha Plywood, Marine Boards na MDF kwa kutumia malighafi ya vinia inayotokana na Miti.

Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwa pamoja na uongozi wa Mkoa wa Iringa na wakiangalia kioande cha vinia aliptembelea Kiwanda cha Cheda Mas Wood kilichopo Mufindi Iringa Juni 24, 2023 baada ya kusikiliza changamoto za Wamiliki wa Viwanda hivyo. Kiwanda hicho kinachozalisha malighafi ya vinia inayotokana na Miti na kuviuzia viwanda vingine kutengeneza bidhaa za mwisho

Wafanyakazi wa Kiwanda cha Yisen International Company kilichopo Mufindi Iringa wakiendelea na kazi ya uchakataji wa vinia inayotumika kutengeneza plywood, marine boards, samani, vifaa vya michezo, makasha ya kusafirisha bidhaa na ujenzi wa majengo na miundombinu mbalimbali.

Wamiliki wa Viwanda vinavyotengeneza Vinia na na bidhaa zinazotokana na malighafi hiyo wakitoa changamoto zao mbalimbali mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah na Uongozi wa Mkoa wa Iringa uliojumuisha Mji wa Mafinga, Wilaya ya MufindiI, TIC, TFS na TRA, Juni 24, 2023.

Na.Mwandishi Wetu

Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuwaenzi, kuwalinda na kuwatunza wawekezaji wanowekeza nchini.

Aidha, ametoa rai kwa Wawekezaji kuendelea kuwekeza kwa kuwa Serikali inaendelea kuweka mazingira bora na wezeshi pamoja na kutatua changamoto mbalimbali zinazojitokeza kupitia Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara Nchini (MKUMBI)

Dkt. Abdallah ameyasema hayo Mkoani Iringa Wilaya ya Mufindi alipokutana na kusikiliza changamoto za
Wamiliki wa Viwanda vya kuzalisha bidhaa za mazao ya misitu hususani Vinia inayotumika kutengeneza bidhaa mbalimbali kama plywood MDF, na marine boards.

Akisikiliza changamoto zao baada ya kutembelea baadhi ya Viwanda vikubwa vinavyozalisha Vinia mpaka zao la mwisho na vidogo vinavyozalisha vinia peke yake, Dkt. Abdallah amesema Wizara kwa itashirikiana na Mkoa wa Iringa pamoja na Wakala wa Misitu (TFS ) kutatua changamoto zote zilizojitokeza ili wawekezaji hao waendelee kuzalisha bidhaa hizo kwa tija

Naye Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa Bi. Asifiwe Mwakibete ametoa kwa wawekezaji kuendelea kuwekeza katika viwanda vya mazao ya misitu mkoani humo kwa kuwa malighafi ya miti inapatikana kwa wingi na wananchi waendelee kupanda miti kwa kuwa soko la miti ya mbao ni kubwa Mkoani humo.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga Bw., Ayoub Kambi amesema kwa kushirikiana na Mkoa wa Iringa wataweka mikakati ya kutatua changamoto zote zilizojitokeza kwa wawekezaji wa viwanda vinavyotengeneza bidhaa kwa kutumia Vinia

Vinia ni moja ya mazao ya misitu yanayohandisiwa ( Engeneered Wood Products(EWP) inayotumika kutengeneza moja kwa moja bidhaa za mazao ya mbao. Vilevile hutumika kutengeneza plywood, marine boards, samani, vifaa vya michezo, makasha ya kusafirisha bidhaa na ujenzi wa majengo na miundombinu mbalimbali.

Wilaya ya Mufindi ina viwanda 27 vinavyoshughulika na uzalishaji wa vinia. Kati ya hivyo viwanda 6 vinauwezo wa kuzalisha bidhaa hadi hatua ya mwisho kama plywood MDF na marine board kwa kutumia vinia na viwanda vingine vinaishia hatua ya malighafi ya vinia.

About the author

Alex Sonna