Featured Michezo

EXPANSE STUDIO KUSHIRIKI MAONYESHO YA SIGMA AMERICANS

Written by mzalendoeditor

Historia inatarajiwa kwenda kuandikwa pale Brazil katika mji wa Sao Paolo ambapo kutakuwa na maonyesho ya  Expanse Studio inapenda kutangaza kuwa watashiriki kwenye maonyesho ya Sigma Americans ambayo yanatarajiwa kuonyeshwa nchini Brazil ambapo kwenye onyesho hilo kutakuwa na michezo mbalimbali ya kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kwa kuonyesha kuwa wao wana michezo kibao ya kasino ya mtandaoni, onyesho hilo litakuwa ni chanzo kwa wao kuthibitisha kuwa  wanawafikia wauzaji na wanaotoa huduma ya michezo ya kubahatisha ya Amerika ya Kusini.

 

Je unajua ni kwanini Expanse Studio ndio wanasimami onyesho hili?

 

Expanse Studio imekuwa ikifanya vizuri tangu ilipoanzishwa mwaka 2017 na huduma zake zimekuwa bora na za kudumu muda wote. Vilevile michezo yao ambayo wanatoa siku zote inakuwa haina upendeleo kama vile Titan Roulette, Clown Fever na Wild Icy Fruits.

 Na michezo hiyo yote inapatikana ndani ya Meridianbet. Ingia na uweze kucheza michezo hiyo ya kasino upige mkwanja mrefu kwa dau dogo tu ambalo unakuwa umeweka.

Kutokana na teknolojia kukua kwa haraka imefanya uchezaji wa michezo hiyo ya kasino kuwa rahisi kwani sasa unaweza kucheza kwenye simu yako ya mkononi ukiwa na internet pekee.

Vile vile onyesho hilo litakuwa na wageni mbalimbali ambao watashuhudia ubunifu wa michezo mbalimbali ambayo itaonyeshwa. Miongoni mwa micheoz hiyo ni kama vile Titan Roulette na Clown Fever, pamoja na uzinduzi wa michezo yao ya hivi karibuni kama Zombie Apocalypse, Wild White Whale, God of Coins, pamoja na Spinning Buddha.

Ndani ya Meridianbet michezo ya kasino ipo mingi kama vile Aviator, Poker, Roulette, Book of Egypt, Piggy Party na mingine kibao ambayo inaweza kubadilisha ndoto zako.

 

NB: Kubwa kuliko ni kwamba ukijisajili Meridianbet unazawadiwa mizunguko ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, jisajili hapa.

 

About the author

mzalendoeditor