Featured Kitaifa

KAMATI YA USIMAMIZI WA MPANGO WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA TANZANIA (MKUMBI) YAKUTANA

Written by mzalendoeditor

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Dkt. Jim Yonaz ameongoza Kikao cha Kamati ya Usimamizi wa Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara nchini (MKUMBI) leo tarehe 07 June, 2023 mkoani Dodoma.
Kamati hiyo inaundwa na Makatibu Wakuu wa Wizara zinazotekeleza MKUMBI pamoja na  Mkuu wa Kitengo cha Kuboresha Mazingira ya Biashara Nchini.

About the author

mzalendoeditor