Msimu wa soka upo mwishoni lakini mtafutaji haishi kuchoka kuzisaka chapa, chimbo jingine la kutengeneza pesa kila sekunde ni michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.
Tangu kuanza kwa mwaka huu Zaidi ya mamilioni yametolewa kwa watu wengi, ni kutoka ubashiri wa soka na kasino yamtandaoni ambapo mwezi huu juni Meridianbet wamekuletea promosheni kubwa itakayokupa utajiri muda wowote unapocheza sloti na michezo ya Expanse kutoka kasino ya mtandaoni.
Kuanzia Juni 5 mpaka Juni 22, 2023 promosheni hii itafika tamati ambapo kila mchezaji atakashindana atajipatia mizunguko ya bure ya kucheza kasino ya mtandaoni. Mizunguko 50,000 inatolewa kwenye sloti ya PIA pekee inayopatikana Meridianbet kasino ya mtandaoni, na promosheni hii itakuwa katika mashindano 3 tofauti.
Shindano la Kwanza
Litadumu kuanzia tarehe 5 Juni mpaka 10 Juni, 2023 na wachezaji watapewa alama 10 katika kila mzunguko watakaozungusha kwenye michezo ya sloti iliyochaguliwa. Washindi watakaolipwa ni kuanzia 1-100 ambapo mshindi wa kwanza atajipatia mizunguko 500 na wa mia moja anatjipatia mizunguko ya bure 100. Kumbuka dau la chini kucheza ni Tsh 500/=
Shindano la 2& 3
Katika shindano la pili nala tatu washindi watapatikana kwa kuangalia ushindi aliopata utagawanywa kwa dau aliloweka kisha kuzidishwa x100, washindi 100 watachaguliwa na kuzawadiwa mizunguko ya bure.
Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ni sehemu ya kutengeneza utajiri kirahisi sana, na kila unapojisajili unazawadiwa tena mizunguko ya bure kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni, jisajili hapa.
NB: Meridianbet wana haki ya kufuta matokeo na kutotoa zawadi endapo matokeo ya wachezaji kwa sehemu, au kwa ujumla yatatokana na makosa yanayoonekana, tatizo la kiufundi au utendakazi wa mchezo, bila kujali kama hitilafu, tatizo au utendakazi ni matokeo ya kibinadamu, hitilafu ya mitambo au programu, na pia katika visa vya udanganyifu au kula njama na wachezaji kadhaa.