Promosheni ya kijanja sasa ipo mjini, unapocheza Aviator kasino ya mtandaoni, Meridianbet wanakupatia Bashiri 20 za bure kuongeza ushindi wako. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inaendelea kuwajali wateja kwa kuwapatia bonasi, ofa na promosheni za kijanja.
Safari ya kurusha ndege ya Aviator huanza pale ambapo unaweka dau lako katika sehemu mbili kulia na kushoto kama unataka ushindi mkubwa, kisha unasubiri ndege iruke kadri ndege inavyopaa angani ndio ushindi unavyoongezeka.
Hiyo haitoshi Meridianbet kasino ya Mtandaoni wameamua kuongeza mzuka kwenye mchezo huu kwa kutoa Mvua 20 za bure kwa wachezaji 10 wanaocheza Zaidi mchezo huu, mizunguko hii unaweza kuitumia kucheza na kuongeza ushindi wako wa kasino ya mtandaoni.
Jinsi ya Kupata Mvua za Aviator/ Bashiri za Bure
Promosheni “Aviator Bonanza, beti kibao za bure” imeanza 19.05.2023 hadi 31.05.2023 na inapatikana kwa wateja wote wa Meridianbet.
Wakati wa promosheni hii, kutatokea mvua ya BASHIRI ZA BURE mara 20 kwa siku kwa wateja 10 wenye kasi zaidi kwenye Aviator kila muda kwa kubofya kitufe cha TUMIA utapatiwa bashiri za bure yenye thamani ya shilingi 1,000.
Fungua sehemu ya ‘Andika Ujumbe’ ndani ya mchezo wa Aviator, bofya alama upande wa juu kulia na, tegemea mvua ya bashiri za bure. Baada ya mteja kutumia bashiri za bure, kwenye sehemu ya orodha ya mchezo wa Aviator, atapaswa kubofya sehemu ya “BASHIRI ZA BURE” na kuchagua bashiri ya bure kama dau.
Ushindi wa odd ya 1.95 na kuendelea ndio unaweza kuwekwa kwenye akaunti ya pesa halisi. MVUA ya BASHIRI ZA BURE itashuka bila mpangalio, mara 20 kwa siku wakati wote wa promosheni ya kasino ya mtandaoni, kila mvua itanyesha kwa dakika 10.
Mara baada ya bashiri ya bure kutumika, mteja atakua na takribani dakika 10 za kuitumia bashiri ya bure kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, Ikitokea bashiri ya bure haijatumika, mteja hatoweza kuitumia tena.
N.B: Ukiachana na Aviator Bonanza, Meridianbet wanakupa mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kwa mteja mpya baada ya kujisajili.