Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

betasus

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

Featured Kitaifa

VIJANA 30,00 KUNUFAIKA NA SEKTA YA KILIMO NCHINI

Written by Alex Sonna

 

Mkurugenzi Mkazi wa USAID Tanzania, Bi.Kate Somvongsiri ,akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa mradi wa Feed The Future wenye lengo la kuimarisha sekta binafsi (PSSA) hafla iliyofanyika leo Mei 11,2023 jijini Dodoma.

Naibu Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Omary Husein,akizungumza  wakati akifungua  hafla ya uzinduzi wa mradi wa Feed The Future wenye lengo la kuimarisha sekta binafsi (PSSA) hafla iliyofanyika leo Mei 11,2023 jijini Dodoma.

 

Sehemu ya washiriki wakifatilia mada mbalimbali wakati wa  uzinduzi wa mradi wa Feed The Future wenye lengo la kuimarisha sekta binafsi (PSSA) hafla iliyofanyika leo Mei 11,2023 jijini Dodoma.

Meneja wa Justin Natural Honey  Mfugaji wa nyuki,Bw. Justin Mgeni,,akizungumza  wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa Feed The Future wenye lengo la kuimarisha sekta binafsi (PSSA) hafla iliyofanyika leo Mei 11,2023 jijini Dodoma.

Na Paul Mabeja-DODOMA

SHIRIKA la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) limetoa zaidi ya Dola za Kimarekani milioni 12 ili kuimarisha ujasiri wa vijana katika sekta za kilimo na kilimo Tanzania.

Mkurugenzi mkazi wa USAID Tanzania, Kate Somvongsiri amesema hayo leo Mei 11, 2023 jijini Dodoma kwenye hafla ya uzinduzi wa maradi wa Feed The Future wenye lengo la kuimarisha sekta binafsi (PSSA).

Amesema, katika kutekeleza programu ya PSSA itaaambatana na kuunga mkono mpango wa wizara ya kilimo wa kujenga kesho bora (BBT).

“Kwa kufanya hivyo PSSA itawafikia vijana 30,000, kuwezesha upatikanaji wa fedha kwa angalau makampuni 3,000 yanayoongozwa na vijana”amesema

Aidha, amesema shughuli ya kuimarisha sekta binafsi ya Feed The Future Tanzania itatoa ruzuku kwa vyama vya wafanyakazi binafsi,mashirika na makampuni makubwa ambayo yataboresha mazingira wezeshi ya biashra na kupanua fursa za kiuchumi kwa vijana.

“Kwa mafano Khebhandza Marketing Company Limited inapokea ruzuku ya Sh. 287,457,000 kusaidia kuanzisha Malampuni 700 yanayoongozwa na vijana yanayofanya kazi katika sekta ya nafaka,kunde na mbegu za mafuta katika mkoa wa Mbeya na kuunganisha makampuni haya na fedha, huduma na masoko”amesema

Pia, amesema Jumuiya ya wafanyabiashara Wanake Tanzania inapokea ruzuku ya Sh.297,820,024 ili kuanzisha vituo vya biashara,vinavyounganisha biasahra za vijana n autaalam wa kiufundi,huduma za biashara na masoko ya fedha.

“Kupitia PSSA,USAID pia imetoa ruzuku kwa vyama vinavyostahiki,vilivyo n sifam makampuni ya mashirika kwa misingi ya wazai na yenye ushindani”amesema

Kadhalika, amesema kuwa serikali ya Marekani itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuwezesha wananchi wake kufikia uchumi wa kati.

Mmiliki wa Kampuni ya Prano Investment Pendo Ndumbaro,amesema bado wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo mlundikano wa kodi.

“Changamoto nyingine ni vifaa duni kwa ajili ya kuzalishia bidhaa mbalimbali na hii inatokana na ukosefu wa mitaji kwa vijana wafanyabiashara”amesema

Naye Naibu Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Omary Husein amesema serikali inatambua umuhimu wa sekta binafasi katika kukuza skta ya kilimo nchini.

“Tunaishukuru sana serikali ya Marekani kupitia shirika lake la USAID kupitia mradi huu utasaidia kuwezesha vijana kupata mitaji ambayo imekuwa kilio chao cha muda mrefu nchini”amesema

About the author

Alex Sonna