Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO ATETA NA WATENDAJI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Written by mzalendoeditor

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na Watendaji wa Ofisi ya Makamu wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu Dkt. Switbert Mkama kwa ajili ya kupokea taarifa za utekelezaji wa majukumu ya Idara ya Mazingira na Kitengo cha Sheria, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba jijini Dodoma leo Mei 10, 2023.

About the author

mzalendoeditor