Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

SERIKALI YAANIKA RASIMU YA SERA NA MITAALA MIPYA YA ELIMU

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Mei 9,2023 kuelekea Siku ya Kongamano la Sera na Mitaala ya Elimu litakalofanyika kuanzia Mei 12 hadi 14 Mwaka huu katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, akifafanua jambo kwa  waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Mei 9,2023 wakati akizungumza kuelekea Siku ya Kongamano la Sera na Mitaala ya Elimu litakalofanyika kuanzia Mei 12 hadi 14 Mwaka huu katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,wakati akizungumza leo Mei 9,2023 kuelekea Siku ya Kongamano la Sera na Mitaala ya Elimu litakalofanyika kuanzia Mei 12 hadi 14 Mwaka huu katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Na.Bolgas Odilo-DODOMA

SERIKALI imeamua kutoa rasimu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 toleo la 2023 na rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Awali, Msingi,Sekondari na Vyuo vya Ualimu hadharani ili kupata maoni ya wananchi.

Hayo yamesemwa leo Mei 9,2023 na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea siku ya Kongamano la Sera na Mitaala ya Elimu litakalofanyika kuanzia Mei 12 hadi 14 Mwaka huu katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Prof. Mkenda amesema mchakato huo umekamilika kwa kupata maoni kutoka kwa wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutembelea nchi mbalimbali na kufanya uchambuzi.

“Kazi hii imekuwa ikifanyika kwa kukusanya maoni, kutembelea nchi mbalimbali na kufanya uchambuzi wa kitaalamu, ninayo furaha kuwajulisha kuwa rasimu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 imekamilika.

“Rasimu za mitaala ya elimu ya awali, msingi, sekondari na vyuo vya ualimu ambayo inakidhi maelekezo ya Rais wetu nayo imekamilika, Serikali imeamua kutoa rasimu hizi ili kupata maoni ya mwisho ambayo tunataka yawe yashapokelewa ifikapo 31 Mei 2023,” ameeleza Prof. Mkenda.

Hata hivyo amefafanua  kuwa rasimu hizo sasa ziko hadharani ili kupata maoni ya mwisho na zinapatikana katika tovuti za Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (www.moe.go.tz), Idara ya habari Maelezo (www.maelezo.go.tz) na ile ya Taasisi ya Elimu Tanzania (www.tie.go.tz).

Ameongeza kuwa “Mei 10, 2023 Wizara itafanya semina na wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwapitisha katika rasimu hizo na Mei 12 hadi 14 tutafanya kongamano kubwa la kitaifa la siku tatu la kujadili rasimu hizo.”

Prof. Mkenda amewakaribisha wadau wote kujisajili ili kushiriki katika kutoa maoni yao pia amebainisha kuwa mwisho wa kupokea maoni yao ni Mei 31, 2023 baada ya hapo rasimu hizo zitapelekwa katika ngazi za maamuzi mwezi Juni, 2023.

 “Haya ni mageuzi makubwa sana katika elimu yetu na kalenda ya awamu ya utekelezaji wa mambo yatakayoingizwa katika mitaala hiyo ambapo itaamuliwa nini kifanyike mwaka huu, nini kifuate na tunamaliza na kipi” amesisitiza Mkenda

Aidha amesema kuwa kesho watafanya semina kwa wabunge wote ili wazipitie rasimu na kwamba Kongamano la Kitaifa litafanyika kwa siku tatu kujadili rasimu hizo ambapo wanaotaka kushiriki watajisajili kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya wizara hiyo.

Kwa upande wake Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amesema kongamano hilo ni la kimataifa na wamewashirikisha watanzania wanaoishi nje ya nchi ili kutoa maoni yao na uzoefu wao katika nchi wanazoishi.

“Kongamano hili ni la Kimataifa tumeshirikisha watanzania wanaoishi nje ya nchi ili nao watupe uzoefu wao katika nchi wanazoishi katika kuboresha mitaala yetu” amesema Prof .Nombo.

About the author

Alex Sonna