Featured • Kitaifa RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU CHAMWINO 2 years agoby Alex Sonna24 Views Written by Alex Sonna Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Mei, 2023. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn