Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AMKABIDHI CHETI MOSE MELELE, MFANYAKAZI BORA OFISI YA WAZIRI MKUU

Written by mzalendoeditor

 Rais wa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi cheti na Sh. milioni tatu mfanyakazi bora wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mose Melele   huku Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ziliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini, Morogoro, Mei 1, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor