Featured Kitaifa

JESHI LA POLISI MAKAO MAKUU DODOMA LAPANDA MITI

Written by mzalendoeditor

Na Benedict Mlawa wa Jeshi la Polisi 

Askari wa Jeshi la Polisi wa vyeo mbalimbali wa Makao Makuu ya Polisi Dodoma  leo Aprili 26,2023 wameshiriki zoezi la upandaji  miti katika maeneo ya viwanja vya kambi ya Polisi iliyopo Medeli kata ya Chadulu Jijini Dodoma.

Zoezi hilo la upandaji miti limefanyika ili kuungana na wananchi wote wa Tanzania katika kuazimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika  na Zanzibar.

Upandaji miti utaboresha mazingira ya nchi yetu na kusaidia kudhibiti madhara ya mabadiliko ya tabia nchi.

Picha na Benedict Mlawa wa Jeshi la Polisi 

About the author

mzalendoeditor