Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

pusulabet

Featured Kitaifa

UJUMBE KUTOKA ANGOLA WATUA NCHINI KUJIFUNZA KUHUSU UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA TASAF

Written by Alex Sonna

 

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga (aliyeketi katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa kutoka Angola ambao wako nchini kwa
ziara ya mafunzo ya namna Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF unavyotekeleza
majukumu yake kupitia Mpango wa Kunusuru Kaya za Walengwa.

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga akizungumza katika
hafla ya kuwakaribisha Maafisa wa Serikali kutoka Angola ambao wako nchini
kujifunza utekelezaji wa shughuli za TASAF

Mkurugenzi Msaidizi FAS Bi. Rosa Teixeira de Carvalho (katikati) akizungumza
kwenye kikao cha kuukaribisha Ujumbe huo ikiwa ni mwanzo wa ziara ya kujifunza
shughuli za TASAF zinavyotekelezwa. Kiongozi wa Shughuli za FAS katika Benki ya
Dunia Bw. Boban Paul akitoa maelezo ya utangulizi wakiwa katika ziara ya mafunzo
ya namna Mpango wa Kunusuru Kaya za Walengwa unavyotekelezwa

Meneja wa Mipango na Utafiti wa Taasisi ya Mfuko wa Fidia kwa Mfanyakazi (WCF)
Bw. Patrick Ngwila akiwasilisha mada kuhusu maandalizi na maendeleo ya sera ya
taifa ya hifadhi ya jamii kwa Maafisa wa Serikali kutoka Angola ambao wako nchini
kujifunza utekelezaji wa shughuli za TASAF

………………………………

Ujumbe wa maafisa kutoka Angola uko nchini kwa ziara ya mafunzo kuhusu utekelezaji wa
shughuli za TASAF. Ujumbe huo ukiongozwa na kiongozi wa shughuli za mradi huo katika Benki
ya Dunia Bw. Boban Paul umefuatana pia na Mkurugenzi Msaidizi wa FAS Bi. Rosa Teixeira de
Carvalho wameishukuru TASAF Serikali ya Tanzania kwa kutoa kibali kwa ujumbe huo
kutembelea TASAF kwa nia ya kujifunza. Ujumbe huo wa watu kumi utakuwepo nchini kwa
muda wa siku tano.

Akiwakaribisha wageni hao kwenye Ofisi ya TASAF Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa
TASAF Bwana Mwamanga aliwahakikishia wageni hao kuwa watajifunza mambo mengi kutoka
TASAF inayotekeleza Mpango wa Kunusuru kaya za walengwa ambao una lengo la kuwapatia
wananchi maisha bora. Wageni hao watapata nafasi pia ya kutembelea walengwa katika
Halmashauri za Wilaya za Kibaha na Bagamoyo.

Wageni hao walipata mawasilisho kuhusu Utekelezaji wa TASAF ambayo mpaka sasa
umeshaandikisha kaya za walengwa zaidi ya milioni moja na laki tatu. Kaya hizo za walengwa
hupata ruzuku na kufanya kazi za ajira ya muda na kujiunga kwenye vikundi vya kuweka akiba
na kufanya shughuli za ujasiriamali.

Kati ya masuala ambayo ujumbe huo umepata nafasi ya kujifunza katika siku ya kwanza ya ziara
hiyo ni namna TASAF inavyofuatilia utekelezaji na kuhakikisha kuwa walengwa wanapata stahiki
zao kwa wakati, taratibu za utekelezaji wa miradi ya miundo mbinu na taratibu za utambuzi wa
walengwa.

Ujumbe huo pia utafanya mawasilisho kuhusu Mradi wa KWENDA ambao unatekelezwa nchini
Angola kwa utaratibu kama wa TASAF na hivyo kutoa nafasi ya TASAF na ujumbe huo
kubadilishana uzoefu wa utekelezaji wa miradi.

About the author

Alex Sonna