Featured Kitaifa

IBADA MAALUM YA MIAKA MWILI YA KIFO CHA HAYATI DKT.MAGUFULI KIJIJINI CHATO

Written by mzalendoeditor

Ibada maalumu kuazimisha mwaka wa pili wa kifo chake aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika kanisa la Mt. Yohana Maria Muzeyi Parikoa ya Mlimani, Chato, Geita ikiongozwa na Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Rulenge, Ngara,  Severine Niwemuguzi . Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Bashungwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigella, Mjumbe wa NEC CCM Zanzibar upande wa vijana Ndugu Mwanaenzi Suluhu Hassan na viongozi wengine wa mkoa na wilaya pia walihudhuria.

Mama Janeth Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigella akiweka shada ya maua

Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Innocent Bashungwa akiweka Shada

Mjumbe wa NEC Zanzibar (vijana) Ndg.  Mwanaenzi Hassan Suluhu akiweka shada

About the author

mzalendoeditor