Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI NDEJEMBI ARIDHISHWA NA UJENZI WA KAMPASI YA TPSC SINGIDA,ATOA MAAGIZO MAZITO

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na Watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) na kamati ya ujenzi wa jengo la TPSC Kampasi ya Singida alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kampasi hiyo mkoani Singida.

Mkuu wa Chuo na Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Dkt. Selemani Shindika akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya ujenzi wa jengo la TPSC Kampasi ya Singida kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo iliyolenga kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kampasi hiyo mkoani Singida.

Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskasi Muragili akiishukuru Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa kuanza ujenzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma katika Mkoa wa Singida wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kampasi hiyo mkoani Singida.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akiangalia mchoro wa jengo la Chuo cha Utumishi wa Umma, Kampasi ya Singida alipoenda kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kampasi hiyo.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akipata maelezo ya mchoro wa jengo la Chuo cha Utumishi wa Umma, Kampasi ya Singida toka kwa Mhandisi Daudi Adam alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kampasi hiyo mkoani Singida.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akitoa maelekezo kwa uongozi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la TPSC Kampasi ya Singida.

……………………………………………………….

Na. James K. Mwanamyoto-Singida

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi ameipongeza Menejimenti ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kwa kuanza ujenzi wa Kampasi ya Singida ambao utaokoa kiasi cha shilingi milioni 87 zinazolipwa kwa ajili ya kupanga jengo la kuendesha shughuli zake mkoani Singida.

Mhe. Ndejembi ametoa maelekezo hayo mkoani Singida wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa Kampasi ya TPSC Singida.

Mhe. Ndejembi amesema kitendo cha TPSC kuanza ujenzi wa Kampasi ya Singida ni maono ya kuondokana na gharama kubwa za upangaji wa jengo wanalolitumia hivi sasa katika kutekeleza majukumu ya chuo hicho mkoani Singida.

“Ni heri mlivyoamua kujinyima ili kutenga fedha zinazotumika kujenga jengo hili, uamuzi huu ni muafaka kwani utapunguza gharama za uendeshaji wa Kampasi hii,” Mhe. Ndejembi amefafanua.

Aidha, Mhe. Ndejembi kwa kutambua faida ya TPSC kumiliki majengo yake, ameilekeza Menejimenti ya chuo hicho kuangalia uwezekano wa kujenga majengo yao katika kampasi zote ambazo chuo kinagharamia kupanga.

“Ni wakati muafaka kwa menejimenti kuona namna bora ya kuanza ujenzi katika kampasi zote mnazopanga kama mnavyofanya katika Kampasi hii ya Singida.” Mhe. Ndejembi amesisitiza.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskasi Muragili ameipongeza Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na uongozi wa TPSC kwa uamuzi wa kuanza ujenzi wa Kampasi ya TPSC Singida ambayo itahudumia watumishi wa umma na wananchi wa mikoa ya Kanda ya Kati.

Mhandisi Muragili amesema eneo hilo linalojengwa Kampasi ya Singida lilitengwa muda mrefu sana, hivyo bila uamuzi wa dhati wa kuanza ujenzi huo, ni dhahiri kuwa ndoto ya TPSC Kampasi ya Singida kuwa na jengo lake isingetimia.

Akitoa taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa Kampasi hiyo ya Singida, Mkuu wa Chuo na Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Dkt. Selemani Shindika amesema timu ya wataalam ilibainisha kuwa eneo hilo kutajengwa majengo 30 ili kuwezesha utekelezaji wa majukumu ya Kampasi ya TPSC Singida.

Dkt. Shindika amefafanua kuwa, kutokana na gharama za ujenzi wa majengo hayo 30 kuwa kubwa, TPSC iliamua kuwa na mpango wa ujenzi wa awamu kwa kutumia fedha za ndani mpaka ujenzi utakapokamilika.

Jumla ya ekari 76 zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Kampasi ya Singida.

About the author

Alex Sonna