Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKIKABIDHI MAGARI NA PIKIPIKI KWA TARURA NA WATENDAJI KATA

Written by Alex Sonna
MAKAMU  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria kukabidhi rasmi magari 54 kwa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) pamoja na Pikipiki 916 kwa Watendaji Kata zilizotolewa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Hafla iliofanyika leo tarehe 14 Februari 2023 jijini Dodoma . (Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Angellah Kairuki na Mkuu wa Mkoa Manyara Makongoro Nyerere, Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Jenista Mhagama, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo na Mkuu wa Mkoa Dodoma Rosemary Senyamule)
MAKAMU  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango,akizungumza
wakati wa hafla ya kukabidhi  magari 54 kwa kwa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) pamoja na Pikipiki 916 kwa Watendaji Kata zilizotolewa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, hafla iliyofanyika leo Februari 14,2023 jijini Dodoma.
SEHEMU ya Viongozi Wakisikiliza hotuba ya  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango,(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi  magari 54 kwa kwa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) pamoja na Pikipiki 916 kwa Watendaji Kata zilizotolewa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, hafla iliyofanyika leo Februari 14,2023 jijini Dodoma.
WAZIRI wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Angellah Kairuki,akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi  magari 54 kwa kwa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) pamoja na Pikipiki 916 kwa Watendaji Kata zilizotolewa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, hafla iliyofanyika leo Februari 14,2023 jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama,
akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi  magari 54 kwa kwa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) pamoja na Pikipiki 916 kwa Watendaji Kata zilizotolewa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, hafla iliyofanyika leo Februari 14,2023 jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bw.Daniel Chongolo ,akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi  magari 54 kwa kwa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) pamoja na Pikipiki 916 kwa Watendaji Kata zilizotolewa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, hafla iliyofanyika leo Februari 14,2023 jijini Dodoma.
KATIBU Mkuu wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Prof.Riziki Shemdoe, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi  magari 54 kwa kwa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) pamoja na Pikipiki 916 kwa Watendaji Kata zilizotolewa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, hafla iliyofanyika leo Februari 14,2023 jijini Dodoma.
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule,akitoa salamu za Mkoa wakati wa hafla ya kukabidhi  magari 54 kwa kwa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) pamoja na Pikipiki 916 kwa Watendaji Kata zilizotolewa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, hafla iliyofanyika leo Februari 14,2023 jijini Dodoma.
MAKAMU  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria kukabidhi rasmi magari 54 kwa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) pamoja na Pikipiki 916 kwa Watendaji Kata zilizotolewa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Hafla iliofanyika leo tarehe 14 Februari 2023 jijini Dodoma . (Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Angellah Kairuki na Mkuu wa Mkoa Manyara Makongoro Nyerere, Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Jenista Mhagama, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo na Mkuu wa Mkoa Dodoma Rosemary Senyamule)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo wakati akijaribu moja kati ya magari 54 yaliokabidhiwa kwa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) katika hafla iliyofanyika leo Februari 14,2023 jijini Dodoma.
MUONEKANO wa Magari pamoja na Pikipiki zilizokabidhiwa kwa  Mameneja wa Mikoa na Wilaya wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini(TARURA) na Watendaji wa kata.
MAKAMU  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akimkabidhi Afisa Mtendaji Kata ya Ng’ong’ona (Kulia) iliopo Dodoma moja kati ya Pikipiki 916 zilizotolewa kwa Watendaji Kata kutoka Ofisi ya Rais – TAMISEMI, katika hafla iliYofanyika  leo tarehe 14 Februari 2023 jijini Dodoma.
MAKAMU  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Watendaji Kata kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wakati wa hafla ya kukabidhi Magari 54 kwa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) pamoja na Pikipiki 916 kwa Watendaji Kata zilizotolewa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI,hafla iliyofanyika  leo Februari 14,2023 jijini Dodoma.
Na Alex Sonna-DODOMA
MAKAMU  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango amewataka watendaji wa kata nchini kuhakikisha wanasimamia haki na wanajiepusha kuonea wananchi.
Dk.Mpango ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya kukabidhi  magari 54 kwa kwa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) pamoja na Pikipiki 916 kwa Watendaji Kata zilizotolewa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, hafla iliyofanyika leo Februari 14,2023 jijini Dodoma.
jijini Dodoma wakati wa hafla ya kukabidhi magari kwa Mameneja wa Mikoa na Wilaya wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini(TARURA) na Pikipiki kwa watendaji wa kata.
 Dkt. Mpango amesema kuwa Serikali Kuu imekuwa ikipokea tuhuma nyingi za ukiukwaji wa maadili ya viongozi wa umma zinazofanywa na baadhi ya maafisa watendaji wa kata.
“Msijifanye miungu watu kwa kuwakamata wananchi na kupora mali zao kwa uonevu bila sababu za msingi, simamieni sheria lakini msionee watu, narudia simamieni sheria msionee watu,” amesema Dkt. Mpango
Hata hivyo amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kufuatilia tuhuma hizo na kuchukua hatua stahiki za kisheria na kinidhamu.
Aidha Dk.Mpango amesema kuwa  watendaji wa kata ni viongozi muhimu katika utekelezaji wa shughuli za Serikali hivyo vyombo vya usafiri walivyokabidhiwa vitaongeza ufanisi wa kazi za Serikali endapo vitatumika kama ilivyokusudiwa.
“Nataka pikipiki hizi tunazogawa leo zitumike kuwafikia wananchi kwa urahisi, kuwasilikiza kuwahudumia na si kwa manufaa yenu binafsi”amesisitiza Dk.Mpango
Makamu wa Rais ameutaka Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kufanya kazi kwa weledi na uaminifu ili kuyatimiza vema majukumu yao hususani ya kusimamia shughuli za ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya barabara.
Kwa upande wake Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Angellah Kairuki, amesema Rais alikubali pendekezo la kutumika Sh.Bilioni 2.9 za mgao wa kodi ya majengo za kuanzia Julai 2021 hadi Februari 2022 ili kununua vitendea kazi hivyo kwa watendaji wa kata.

”Lengo la vitendea kazi hivyo ni kuongeza ufanisi katika utoaji huduma kwa wananchi, kurahisisha usafiri pamoja na kuimarisha mapato.”amesema Waziri Kairuki

Aidha Waziri Kairuki amesema kuwa  TAMISEMI inapanga kutumia biashara ya kaboni kama hatua ya kulinda mazingira pamoja na kuongeza vyanzo vya mapato kwa wananchi na Halmashauri kwa ujumla.

Naye Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Jenista Mhagama amesema Serikali inatarajia kuongeza wahandisi pamoja na wakadiriaji majengo katika halmashauri ili kukabiliana na tatizo la ujenzi wa miundombinu chini ya kiwango.

Awali  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bw.Daniel Chongolo ametoa wito kwa serikali kufanya mapitio ili kutambua upande wenye tija katika ukusanyaji mapato hususani kodi ya majengo kati ya Serikali kuu na Tamisemi ili kupewa jukumu la ukusanyaji na kupata matokeo makubwa zaidi.

” Ameiomba serikali kuendelea kuongeza bajeti ya TARURA ili iweze kufungua zaidi miundombinu maeneo mengi zaidi yenye fursa na uzalishaji hapa nchini.”amesema Chongolo

About the author

Alex Sonna