Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

WADAU WA MADINI WAIPONGEZA OFISI YA MADINI MTWARA KWA USIMAMIZI MZURI

Written by Alex Sonna

Na.Mwandishi Wetu -MTWARA
Kaimu Meneja wa Bandari ya Mtwara, Mhandisi Nobert Kalembwe amesema kuwa usafirishaji wa makaa ya mawe kwenda nje ya nchi kupitia bandari hiyo umeongeza mapato kwenye bandari hiyo sambamba na kuongezeka kwa kampuni za usafirishaji wa makaa ya mawe kwenda nje ya nchi.

Mhandisi Kalembwe aliyasema hayo leo tarehe 24 Januari, 2023 mkoani Mtwara kwenye mahojiano maalum ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kipindi maalum chenye lengo la kuangalia mchango wa Sekta ya Madini katika kuwawezesha watanzania kiuchumi pamoja na uboreshaji wa huduma za jamii katika mikoa ya Njombe, Ruvuma na Mtwara.

Akielezea hali ya usafirishaji wa makaa ya mawe kwenda nje ya nchi alisema kuwa katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022-2023 walipangiwa kusafirisha tani 402,000 na kusisitiza kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 2022 hadi Januari 2023 wamefanikiwa kusafirisha tani 721,000 ikiwa ni ishara ya kuwa biashara ya makaa ya mawe katika mikoa ya Njombe na Ruvuma imeendelea kukua.

Alisema kuwa  makaa  ya mawe yanasafirishwa kupitia kampuni za Ruvuma Coal Limited na Jitegemee Holding Company Limited na kuongeza kuwa kampuni nyingine zipo mbioni kuanza usafirishaji wa makaa ya mawe na kutaja kuwa ni pamoja na  Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Gold Walk Limited, SEBDO,  Aria Commodities International Limited, Marine Tech, Market-Insight na BECO.

Alisema kuwa  makaa ya mawe yamekuwa yakisafirishwa katika nchi za  India, Senegal, Ufaransa, Misri, Poland, Zanzibar, Ghana, Kenya, Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo na Netherland.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti wasafirishaji wa makaa ya mawe kupitia bandari ya Mtwara sambamba na kupongeza kazi nzuri inayofanya na Ofisi  ya Madini Mtwara kwa kushirikiana na Mamlaka ya Bandari Tanzania – Mtwara hasa kwa kuweka mazingira mazuri ya biashara ya makaa ya mawe waliongeza kuwa wamejipanga kuendelea kutoa  huduma kwa watumiaji wa makaa ya mawe wa ndani na nje ya nchi.

Msimamizi Mkuu wa kampuni ya Aria Commodities kwa upande wa Mtwara Seleman Kikwete alisema kuwa kampuni yake inapokea tani kati ya 300 hadi 600 za makaa ya mawe kwa siku kutoka Songea mkoani Ruvuma ambapo mpaka sasa ina tani 59,000 ambapo inatarajia kusafirisha nje ya nchi na kusisitiza kuwa kampuni ipo tayari kuuza makaa ya mawe kwa viwanda vya ndani ya nchi.

Naye Meneja wa Kampuni ya Ruvuma Coal Company Limited- Tawi la Mtwara, Said Ghaddaf alifafanua kuwa tangu kuanza kwa kampuni hiyo takribani miezi 15 iliyopita, imeshasafirisha tani 990,000 za makaa ya mawe nje ya nchi.

Katika hatua nyingine, aliishukuru Serikali kwa upanuzi wa bandari ambapo imekuwa na manufaa kwa wasafirishaji wa makaa ya mawe kwani imeongeza uwezo wao wa kusafirisha makaa ya mawe mengi zaidi.

About the author

Alex Sonna